Walokole wengi nuksi sana

Walokole wengi nuksi sana

Ni sawa na wewe ukitumika kama kielelezo cha 'the rest of Tanzanians', basi wote tutaonekana ovyoo. Acha ku'judge watu ivyo, watu wa ovyo wapo kila sehem. Mungu na akufumbue macho ya rohoni utoe chuki iyo iliyo ndani na uanze kupenda binadamu wengine. Amen.
 
Nilikuwa nawakubali sana walokole lakini hawana maana kabisa Majungu wao,unafki wao,wanajiona watakatifu kuliko wenzao.
kama haujaokoka wanakuona kama takataka vile wanakutenga,kwenye mikesha ya vijana wanagegedana c mchezo.
NB:Matusi sitaki tafadhali
Mkuu maneno yako yana ukweri ndan yake,,,big up xana umewaza xana mkuu.
 
Kama wewe ulivyo m.p.u.m.b.a.v.u! Na kukashifu imani za watu
We taaira umevurugwa na stress za ndoa nenda kwa walokole wenzako wakakutoe pepo la kisirani. Mana asubuhi yote hii unaanza na kisirani.

Ishu ni kua waislam wa swala 5, walokole, wakatoli karismatiki, wasabato sio watu wazuri mana wana roho za chuki na choyo. Iyo ni fact. Hutaki tambaa. Si tunawaona huku mtaani.
 
Mlokole mstaafu! Hongera kwa kazi nzuri
 
Kweli mkuu. Watoto wanalishwa matango pori toka wakiwa wadogo...eti kuna maisha baada ya kufa ukiwaambia lete evidence...eti subiri yesu arudi mana alikufa miaka buku 2 iliyopita.
Ukija kwa ndugu zetu waislam nao vile vile...wamebase kwnye elimu akhera...wanaacha elimu dunia eti ni boko haram!
Boko haram wakati wanatumia kila kitu kilichotokana na hiyo haram wanayoipinga?

Moja kati ya sababu ya hizi dini kuwepo ni kwamba watu wanalishwa tangu wakiwa wadogo kabisa hata kabla ya kujua chochote.Kubwa zaidi wanazifundishwa kwa vitisho vya moto wa milele, hivi ukimtisha mtoto kwa moto ataacha kukufuata kweli?.....ndio maana watu wanakuwa huku wakiwa na hizo hofu za utotoni na kurithisha.

Yesu alipo ondoka aliwaahidi watu aliowaaga kuwa atarudi kabla hawajafa, lakini wale watu walikufa kabla ya Yesu kurudi.....Sasa atarudi lini?

Huo moto wa akhera kuna mtu mwenye ushahidi juu ya uwepo wake?
 
Waloloke, wakatoliki karismatiki, waislam sala 5 na wasabato ni watu wabaya sana. Zaidi ya unavofikiria. Ni wachoyo na wana roho na chuki za kichoyo. Nakuambia kutoka kwa experience.
Hawa watu wa dini dini ni watu wabaya sana.
Bora sisi tusio na dini lakini tunaishi ktk misingi ya "RIGHT na WRONG"
Naked truth
 
Jaman hizo kashfa mnazozipost kama hakuna uhakika nazo ni bora mkanyamaza,
Manaake kama unasema kwamba ukiwa na mke mlokole ndoa yenu inaweza kuvunjika mda mfupi tu,huyo ayakuwa hajaokoka
 
Kuna mmoja nikiheshimiana nae sana na yupo kwenye process za kufunga ndoa,wiki mbili nyuma nikiwa ofsini kwangu akaja story story tumetaniana taniana sasa wakati wakuagana tukashikana mikono mara akanitekenya na kidole kwenye kiganja cha mkono wangu,sikuchukulia maanani coz nilidhani labda nilichokisikia sio halisi...siku mbili mbele akaja tena akanitania tania ktk utani huo akanichomekea huku mkono wake anaupeleka kwenye maungo yangu,“yaani wewe nina hamu nikupe kiuno lakini hata huelekei",niliishiwa nguvu maana mke wa mtu mtarajiwa anaongea ujinga kama huo nilitaka nimfukuze ila nikajichekesha na sikumjibu chochote,juzi kaniletea kadi ya mchango nikamuuliza “unakijua unachokifuata kwenye ndoa kweli wewe?”akanijibu eti mbona baba na mama wameishi hadi sasa wazee,na najua ameshajua nimekasirika kwa aliyoniambia maana baada ya swali hilo aliniaga nakuondoka.sihukumu maana sijui mafundisho yao but nahisi kuna kitu wanaki-miss ktk mafundisho yao hasa kuhusu suala la mahusiano na jamii pia mahusiano ya kindoa.
 
Na pia kama mtu akiijua kweli (neno la Mungu ambaye ndiyo Yesu) hakika hiyo kweli itamuweka huru
Soma Yohana mt. 1 kuanzia mstar wa kwanza kwa ufahmu zaidi tafiki yangu
 
Boko haram wakati wanatumia kila kitu kilichotokana na hiyo haram wanayoipinga?

Moja kati ya sababu ya hizi dini kuwepo ni kwamba watu wanalishwa tangu wakiwa wadogo kabisa hata kabla ya kujua chochote.Kubwa zaidi wanazifundishwa kwa vitisho vya moto wa milele, hivi ukimtisha mtoto kwa moto ataacha kukufuata kweli?.....ndio maana watu wanakuwa huku wakiwa na hizo hofu za utotoni na kurithisha.

Yesu alipo ondoka aliwaahidi watu aliowaaga kuwa atarudi kabla hawajafa, lakini wale watu walikufa kabla ya Yesu kurudi.....Sasa atarudi lini?

Huo moto wa akhera kuna mtu mwenye ushahidi juu ya uwepo wake?
Kweli mkuu.
Kuna msikiti mmoja ni kero kwa jamii inayouzunguka mana saa 10 alfajiri wanapiga kelele kuwaamsha watu eti amkeni mkaswali..amka amka eti kitanda ulicholalia ni jeneza...shuka ndo sanda..
yani maspika yanapiga kelele.

Yani hizi dini ni utumbo na upumbavu mkubwa sana.

Cha msingi ni kuishi katika misingi kipu kizuri na kipi kibaya
 
Back
Top Bottom