Na hili ndilo neno la Mungu.Waliobadilisha maisha yangu hapa JF ni
The Boss, Mnama,BAK, Mahmetkic, Mute na Asprin.
Hawa nawakubali kwa michango yao Mtambuzi, Kiranga, Ashadii na Mwali.
Kwenye vichekesho hawa hunichekesha na hufanya nitabasamu siku nzima Boflo, Excy zamani Excellent na Ndallo.
Ni wengi kwa kutaja nitajaza karatasi kama kumi ila sitoweza kusahau michango ya mapacha wawili ambao ni Snowhite na SnowBall.
Mbarikiwe wote, pamoja sana.
Ever Remaining,
Sakapal.
ulimkatia nyanga za Mshimba ama Kakiko?
Tena ushakua sasa mjukuu mpendwa.....Wee! wee! wee! Mwita Maranya usinitafutie kesi nisiyoweza kuijibu! Wakeze babu Asprin watazuka hapa patakuwa hapatoshi! Babu alikuwa hanibughudhi maana mie ni mjukuu wake mpendwa!
YOU are welcome anytime
siku moja will have lunch together..
Nimeamua kujibu kwa njia ya posta!
I'm humbled (source AshaDii) for your appreciation.
Kwakweli sikuwa natambua kwamba ninaweza kuwa na mchango mkubwa katika maisha yako, ubarikiwe sana mamito.
Kusema kweli hapa JF watu ni wengi sana waliochangia mimi kuwa hapa nilipo leo na kuwa hivi nilivyo leo kwa namna moja ama nyingine.
Kwakuwa siwezi kuwataja wote lakini kwakweli niwataje wachache kama Mtambuzi, Zion Daughter, WiseLady, Asprin & Filipo (hawa tumetoka nao mbali sana!!), Preta, PakaJimmy, zumbemkuu, Mungi, LiverpoolFC, Mzee wa Rula, Dena Amsi, Maxence Melo na Dark City.
Lakini pia kuna watu ambao sijawahi kuonana nao lakini nimekuwa nikiwasiliana nao mara kwa mara aidha kwa simu ama kwa PM hapa JF, nao pia wamechangia sana kunifikisha hapa nilipo kwani najifunza vitu vingi toka kwao; Nguruvi3, Mag3, Mkandara, Mchambuzi, Mtumishi Wetu, Mohamedi Mtoi, Thanda, AshaDii, Matola, Molemo, Michelle, carmel na Riwa.
Na mwisho kabisa ningeomba niwatambue marafiki wanaonifanya nilipende jukwaa la MMU na kulitembelea mara kwa mara tofuti na siku za mwanzo; Madame B, Kongosho, Ciello, gfsonwin, Kaizer, Kabakabana, The Finest, The Boss, lara 1, cacico, mwaJ, mdida, nivea, platozoom, snowhite, SnowBall, Boflo, King'asti, MwanajamiiOne na MziziMkavu.
ha ha ha..basi dady nitamuacha kisirisiri...lkn naomba uache kudai mahari za serengeti ili asilete vurugu....aniache nisepe zangu
Sasa koleji meti mbona hujawaambia wadau nlivyokuwa nakukatia nyanga za hesabu? Bila mimi ungemaliza chuo wewe?
najua utabisha kwa sababu maisha yameshakubali.
Mzee wa LMM, mambo yote balcony na muzeya ya Arusha Filipo.
Namshangaa sana Filipo hajanimenshen kama mojawapo wa watu waliyoyabadilisha maisha yake.
Kijana hatari sana yule
Kwe kwe kweee!! Hupitwi?
Muulize mwenyewe akuambie LOL
ulimkatia nyanga za Mshimba ama Kakiko?
Mwita Maranya nashukuru kwa kutambua mchango wangu kwako.
Naahidi kuendelea kukufurahisha daima.
Tuko pamoja mkuu.
Weeeee hapo kwenye mahari ndo usiguse kabisaaaa.
Tena nilivyokusomesha hadi ukamaliza vidato vyote na ulivyokuwa ''cheupe dawa'' mwambie kabisa huyo mharibifu aandae ng'ombe hamsini. No less no more!
Tena ushakua sasa mjukuu mpendwa.....
Ukuje pande hii ukaguliwe sasa.
Nikikumbuka hiyo mutu, nakumbuka mutu inautwa Kajumba, Zee la Mecco na Rombian.
Ha ha ha ha!
Unadesa mpaka ungwini? We chiboko!ukiona hivyo, ujue niikuwa bingwa wa kudesa.
Dada mkubwa Mamndenyi sasa ninaziona busara zako dhahiri.
Nimesoma comments za wadau juu yako na sasa nimekubali wewe ni zaidi ya dada mkubwa ama mama mkubwa kama wanavyokuita watu wengi hapa. Bila shaka nitajitahidi kujisogeza karibu nawe ili nijipatie maujuzi unayowapatia wengine!! lol
Thanks sana Mamndenyi pia nawashukuru wote kwa kuwa pamoja katika maisha haya...tunajifunza mengi na namna ya kuishi!
Thanks kwa wana JF wote
Special thanks kwa Amyner sweetlady Preta Mr Rocky Kipipi Remmy BAGAH @smilling Saint Mzee wa Rula Madame B charminglady Elizabeth Dominic
Sepacial Appreciation kwa Filipo AshaDii Roulette Mamndenyi Arushaone marejesho Ruttashobolwa Baba V St. Paka Mweusi Ruhazwe JR bila kumsahau kaka yangu Judgement popote ulipo.
Best zangu Asprin Bishanga Kaizer na wake zenu cacico gfsonwin snowhite TANMO mtu chake FP na Dena Amsi
Mwisho wanachit chat wote nawakubali sana!