Waliobadilisha Maisha yangu....

wew unaish mkoa gani mwita nikija nikutafute? najua sitakosa japo dinner lol!
 
Aksante kwa kuniacknowledge hapo kwa red hahahahhah (We si umeiacha vacant so acha nijichukulie ujiko mie).
MTM/TIMING you have been missed aisee.

Tunapoelekea mwisho wa mwaka huu wa 2012 nita propose kila mtu achague mtu mmoja wa kukutana nae "face to face"
Nitakuchagua wewe mjukuu mtiifu wa babu asprin ambaye ameanza kunielekeza namna ya kufanya ukaguzi!! lol

BTW, thread zako huwa nikizisoma zinakuwa zimetulia sana na zimejaa vitu vya uhakika. Ubarikiwe sana mamito.
 
Hujui mie ni wifi wa LIzzy tena wa ukweli kabisa??
Hata wewe naweza kuwa dada tu, mradi abaki kuwa wifi yangu


Kweli umeshindikana wewe....

Haya utakuwa "Dada Binamu" angu wa JF!

Nimeridhia kwa moyo mmoja, naanza kushughulika na kale kajamaa ka kule buhaya republic of banana kanajiita kabepari.
 
Thanks sana Mamndenyi pia nawashukuru wote kwa kuwa pamoja katika maisha haya...tunajifunza mengi na namna ya kuishi!
Thanks kwa wana JF wote
Special thanks kwa Amyner sweetlady Preta Mr Rocky Kipipi Remmy BAGAH @smilling Saint Mzee wa Rula Madame B charminglady Elizabeth Dominic

Sepacial Appreciation kwa Filipo AshaDii Roulette Mamndenyi Arushaone marejesho Ruttashobolwa Baba V St. Paka Mweusi Ruhazwe JR bila kumsahau kaka yangu Judgement popote ulipo.

Best zangu Asprin Bishanga Kaizer na wake zenu cacico gfsonwin snowhite TANMO mtu chake FP na Dena Amsi

Mwisho wanachit chat wote nawakubali sana!
 
Last edited by a moderator:
Ila mnoko, anatembea na bakora

 
Hahhahaha kaka Mwita Maranya......karibu nikuambukize upako si unaona MTM?TIMING kanipaisha hapo kati hahahha.
Aksante sana Babu sasana wewe unakagua sio? Ndio usharithishwa kimfuko cha uganga eh?

Aksante sana kaka nashkuru kama nimekugusa pamoja na kuwa threads zangu zinakuwaga na malalamiko mengi!
 
Last edited by a moderator:
He he he he, unadhani jogoo wa kienyeji anafugwa kama broiler??


:grouphug: Sina choyo nawahug wote hadi asprin mwenyewe

Nipo kuandaa mawakili nipeleke malalamiko yangu kamati ya mahusiano kule chitchat..mwaka huu laza kieleweke.. Asprin aachie ngazi au atangaze
ndoa.....tukutane mahakamani soon
 
Last edited by a moderator:

Duh! Tutakuwa kama Joti au Wakuvanga
 
Arifu hapo sijakuelewa,, Ina maana mimi umeniorodhesha kama mke wa mtu?

Hebu nitake radhi Bwashee...

Astakhf'lahi....

Hii imekubeba sheikh, vijana hawana nidhamu kabisa hawa yaani wameshindwa kupima kuwa una hoja za kishebabi kabisa lol!!

Namsaidia erick kukutaka radhi!

Hii imenichekesha sana, na nikicheki Avatar yako hapo, yaani napata picha ulivyolalamika....
Mwita Maranya mkuu wangu pia umekuwa wa maana sana kwangu hasa mara zote linapokuja suala la siasa ndugu yako Nyambala yupo wapi asee na yeye kabadili ID kama MTM sijui??

Ila mwita hilo jina linakuathiri sana nadhani mambo ya nyumbani na mizizi, kuna siku ulinichenjia asee ila kwasasa ni raha tu kukumbuka....

Kuna kijana wangu Mr Rocky aka KB, salamu zikufikie popote ulipo kijana, kule kwenye jukwaa lako sikuoni kabisa mi Invisible alinipiga ban kule ila juzi nimemkomalia mpaka kanirudisha....
Tukutane kule nina ma-tips yatakufaa weekend hii.
 
Last edited by a moderator:
Ukifanya hivyo utakuwa umejitendea kitu ambacho ni zaidi ya haki. Watoto wazuri kama wewe hamuhitaji kubugudhiwa na mibabu kama Asprin, hujiulizi ujana wake alikula na nani aje kuzeekea kwako?

Wee! wee! wee! Mwita Maranya usinitafutie kesi nisiyoweza kuijibu! Wakeze babu Asprin watazuka hapa patakuwa hapatoshi! Babu alikuwa hanibughudhi maana mie ni mjukuu wake mpendwa!
 
Last edited by a moderator:
Waliobadilisha maisha yangu hapa JF ni

The Boss, Mnama,BAK, Mahmetkic, Mute na Asprin.

Hawa nawakubali kwa michango yao Mtambuzi, Kiranga, Ashadii na Mwali.

Kwenye vichekesho hawa hunichekesha na hufanya nitabasamu siku nzima Boflo, Excy zamani Excellent na Ndallo.

Ni wengi kwa kutaja nitajaza karatasi kama kumi ila sitoweza kusahau michango ya mapacha wawili ambao ni Snowhite na SnowBall.

Mbarikiwe wote, pamoja sana.

Ever Remaining,

Sakapal.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…