Walio karibu na Heche mlindeni sana

Walio karibu na Heche mlindeni sana

Nani alikudanganya kuwa dola ndiyo yenye nguvu? Hakuna wa kuzuia wananchi kama wataamua kwa umoja wao. Duniani kote hakuna sehemu ambayo dola ilishinda wananchi. Ni suala la muda tu. Yes, wanaweza kuua wachache lakini mwisho ni kushindwa. Hii Tanzania unayoiona sasa hivi hata kama utaogopa kusimamia haki lakini kuna siku litakufika la kukufika.
Swadakta
 
Mkuu Muuza Kangala, asante kuni tag

Mkuu britanicca , asante kwa kumpa jamaa yetu angalizo hili muhimu, ila tulifunzwa "alaaniwe amtegemeaye mwanadamu", ulinzi wa Heche, utatoka kwake YEYE mwenyewe!. Wale watu wa kufanya yao, wakiamua kufanya yao, hakuna mtu wa kuzuia, isipokuwa YEYE pekee!.

P
Nipo nacheka huku nakula Gilbey gin.
 
Dah, tayari huko Kigoma vijana wa Mafwele wameshamuua dereva wa Heche. Hivi Samuya anatutaka nini Watanganyika ? Nasi tuanze kuwachinja wazenji walioko huku Tanganyika? Zile damu za 29.10.2025 bado hazijakata kiu yake tu?
 
Mkuu Muuza Kangala, asante kuni tag

Mkuu britanicca , asante kwa kumpa jamaa yetu angalizo hili muhimu, ila tulifunzwa "alaaniwe amtegemeaye mwanadamu", ulinzi wa Heche, utatoka kwake YEYE mwenyewe!. Wale watu wa kufanya yao, wakiamua kufanya yao, hakuna mtu wa kuzuia, isipokuwa YEYE pekee!.

P
Huyu Britanica atakuwa na data sahihi. Tayari wamepita na dreva wa Heche. Inavyoonekana ni direct warning kwa Heche. Siasa za majitaka
 
Ile 97.6 ya kura milioni 32 ilitokana na AI. Tukija kwenye uhalisia, hata 10% ya kura zote wasingepata.
Hivi unavyosema ni AI, kwani wewe hukutiki? Acha hizo bhana weee.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom