Kwenye hili, sina shaka hata kidogo juu yake.Nina mtu pale Oysterbay alinambia heche yuko kwenye target na wameipa mission kabisa
Umefanya uamzi mzuri sana wa kuliwasilisha humu jukwaani. Na hata kama mipango hiyo isingekuwepo; kuna hasara gani ya kuchukuwa tahadhari juu ya watu waovu kama hawa, ambao wametuonyesha mara nyingi jinsi uhalisia wao ulivyo.
Kuna watu wanadharau michango inayopitia humu JF, lakini kiuhalisia, kuna mambo mazito sana yanayopatikana humu ikiwa mtu anayo nia kweli ya kutaka kujuwa kinachoendelea nchini mwetu..
Ni michango ya namna hii ndiyo itakayoleta mabadiliko chanya.
Hatuwezi kupata mabadiliko makubwa bila ya michango midogo kama hii tunayoipata humu JF na kwingineko.