Hili lipo wazi.Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Hawa waovu sasa hivi wapo 'desperate' sana, watafanya lolote wakidhani ndilo litawasalimisha.
CHADEMA sasa hivi ni muhimu kabisa wawe waangalifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Hili lipo wazi.Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Hao watu washaamua liwalo na liwe.Hakuna wa kumdhuru kwasasa kwani wataharakisha vikwazo vigumu kutoka kwa Trump na EU na pia safari yao ya ICC itarahisishwa.
Kila aliye kwenye mamlaka ya kidola wanafanya mambo kwa tahadhari mno tofauti na miezi miwili iliyopita.
Afrika Kusini wale ma Afrikaans waliua na kuwafunga wapigania uhuru kadhaa, mbona mambo yalibadikika!Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Waovu wataanzisha vita wakifikiri wao watabaki salama kwa vile tu wanayo mitutu ya bunduki.Nimepna somewhere msafara wake unafuatiliwa na polisi wenye silaha za moto.
Chadema lazima waweke walinzi binafsi kwa ajili ya viongozi wao kila mahali nchi hii, usalama kwao hakuna.
Kwahiyo unataka kusema operation heche inahusiana na umeme kukatwa nchi nzima muda huu!!?ama!!?Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Hii dola nayo ni dola katika dola duniani?Sio alindwe, hakuna mwenye jeuri ya kumlinda dhidi ya dola..
Akae kimachale machale, aishi kijasusi jasusi..
Unadhani watu dhalimu wanashindwa kumpiga bomu yeye na hiko kikundi chake cha ulinzi, watu ni waroho wa madaraka kupitiliza.
Kukatwa kwa umeme,sio ni spinning ya tukio hilo!!?Nimepna somewhere msafara wake unafuatiliwa na polisi wenye silaha za moto.
Chadema lazima waweke walinzi binafsi kwa ajili ya viongozi wao kila mahali nchi hii, usalama kwao hakuna.
Pascal MayallaNakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Wakati wa waTanzania ni huu mkuu 'macho'.Nani alikudanganya kuwa dola ndiyo yenye nguvu? Hakuna wa kuzuia wananchi kama wataamua kwa umoja wao. Duniani kote hakuna sehemu ambayo dola ilishinda wananchi. Ni suala la muda tu. Yes, wanaweza kuua wachache lakini mwisho ni kushindwa. Hii Tanzania unayoiona sasa hivi hata kama utaogopa kusimamia haki lakini kuna siku litakufika la kukufika.
Exactly. Ni wananchi tu kufikia top. Kuamua. NA HAIKO MBALINani alikudanganya kuwa dola ndiyo yenye nguvu? Hakuna wa kuzuia wananchi kama wataamua kwa umoja wao. Duniani kote hakuna sehemu ambayo dola ilishinda wananchi. Ni suala la muda tu. Yes, wanaweza kuua wachache lakini mwisho ni kushindwa. Hii Tanzania unayoiona sasa hivi hata kama utaogopa kusimamia haki lakini kuna siku litakufika la kukufika.
Wewe ni jitu la hovyo sanaWe unapigwa MITI
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama MazuzuTutamlinda kwa wivu mkubwa. Sana Heche
Hamjitambui kabisa ninyi .mnafanya kazi ya kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama MazuzuIli wanalilomba achana nalo puuuzi kabisa ilo kazi uchawa tuuuu
YAANI MIEZI MIWILI CCM WAMEKIMBILIA PORININaona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu
Heche hana Thamani yoyote ile hapa Duniani ya kustahili kulindwa . Alindwe kama Nani?Nimepna somewhere msafara wake unafuatiliwa na polisi wenye silaha za moto.
Chadema lazima waweke walinzi binafsi kwa ajili ya viongozi wao kila mahali nchi hii, usalama kwao hakuna.