Palac
JF-Expert Member
- Mar 29, 2025
- 2,924
- 7,778
Hua wanathamini sana wakati ulipo kuliko wakati ujaoObvious ni single mother na probably ni barmaid au housemaid au anafanya kazi kwenye hair salon au massage palour.
Hua wanathamini sana wakati ulipo kuliko wakati ujaoObvious ni single mother na probably ni barmaid au housemaid au anafanya kazi kwenye hair salon au massage palour.
Ndio maana nchi IPO gizani au!!?Nina mtu pale Oysterbay alinambia heche yuko kwenye target na wameipa mission kabisa
Deep state iingie mzigoni ili kumlinda dhidi ya hao jamaa!!Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Na ukweli ndio huo wenzake wote wameufyata mwamba kabaki front anawaumiza kichwa wafanyeje kumzuiaNakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Mshike nimpake mafuta asiumieWe unapigwa MITI
Qmlmmy.ko mnduku chawaHeche kwanza ilitakiwa awe ametupwa ndani kufanyiwa mahojiano
Na wewe siku mageuzi ya kweli yakitokea lazima tukuvishe tairi na kukuchoma moto kama kibaka tu.Unapenda sana sifa na uzushi wako hapa na Milamli yako ya kijinga jinga tu
Heche inambidi atembee na kikundi chake chenye ulinzi mkali. Hakuna kuchukuana kiboya tena. Serikali imesharuhusu watu kuwa na vikundi kama "mbwa mwitu" so,kwa mtu akitekwa kiboya utakuwa uzembe wake!Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Huyo marinda yalishafumuliwa kitambo nyeo liko waziii kama shimo la panya.Mshike nimpake mafuta asiumie
Walishindwa kumlinda Lissu Sasa ana mwaka anashughulika na mtondoo, seuse Heche! Anachotakiwa kujua Heche ni kuwa akikamatwa HAKUNA wa kumsaidia. Ajifunze kwa Lissu. Familia inahangaika Ulaya huko na wabongo waliomchochea wala hawana habari nae tena!Nakuombeni sana mlio karibu na Heche!!!!
Britanicca
Huyu jamaa ni mpumbavu. Na mwenye akili uki- interact na mpumbavu, siku zote hudhani ana akili kama ndiyo maana umevutiwa naye. Njia sahihi ni kutowajibu kwa lolote na ikiwezekana waweke kwenye ignore list. Wakikosa attention watajua watu wamedharau na watabadilika.We unapigwa MITI
Mlisema hivyohivyo kuhusu Lissu na kila anayejataa kununulika mnakuwa mnamtafutia sababu ya kutunga ili mumtafute, hilo li-Samia limebinywa internationally hivyo pasina ka-excuse ka kuzugia wanaogopa the international backlash ndiyo maana kila anapoenda wanamuandama firstly kumu-intimidate na secondly wameshaelekezwa kuwa wakiamrishwa(wakishurutishwa) kumkamata isiwe tena kuanza kumtafuta.Acheni kuleta taharuki za kishamba, huyo boya kama dola ikimuhitaji kweli basi inamchukua mchana kweupee mbele yenu na hakuna kenge yeyote wa kufanya chochote.
Utamlindaje mbele ya dola? Dola iogope kama ukoma hata kama ni ya watoto ili mradi iitwe dola.Hili lipo wazi.
Hawa waovu sasa hivi wapo 'desperate' sana, watafanya lolote wakidhani ndilo litawasalimisha.
CHADEMA sasa hivi ni muhimu kabisa wawe waangalifu zaidi kuliko wakati mwingine wowote.
Kabisa, wale wanaokwapua kidogo Cha maskini kwa jina la tone tone wizi wao unazidi kukera kwakweli. Hawana hata huruma na watoto wa maskini!!Nchi imejaa vibaka hii
Samahanini kuuliza sio ujinga na sio kosa !Deep state iingie mzigoni ili kumlinda dhidi ya hao jamaa!!
Mwana ccm makini anaupenda upinzani makini,bila upinzani makini ccm makini itakufa kabisa!!