Walio karibu na Heche mlindeni sana

Walio karibu na Heche mlindeni sana

Mwanaselele kama wewe, sijui hatma yako itakuwaje.

Mtu kujitoa akili kabisa na kuwa kama kifaa tu cha kutumiwa na wengine, tena wanaofanya uovu kwa waTanzania; hata sielewi huwa unajisikiaje unapokwenda kulala kila siku.

Umejidhalilisha utu wako kwa kiasi kikubwa sana.

N.B.:Hii taarifa inamhusu huyo kichaa aitwaye Lucas Mushamba
 
Mwanaselele kama wewe, sijui hatma yako itakuwaje.

Mtu kujitoa akili kabisa na kuwa kama kifaa tu cha kutumiwa na wengine, tena wanaofanya uovu kwa waTanzania; hata sielewi huwa unajisikiaje unapokwenda kulala kila siku.

Umejidhalilisha utu wako kwa kiasi kikubwa sana.
?????????
 
Joined Nov 26, 2006
Bilashaka ni miongoni mwao
 
Nimepna somewhere msafara wake unafuatiliwa na polisi wenye silaha za moto.

Chadema lazima waweke walinzi binafsi kwa ajili ya viongozi wao kila mahali nchi hii, usalama kwao hakuna.
Hao walinzi binafsi ndo mbaya..
Wahuni wanawezapitishwa humo
Bora walindwe na polisi hata akipata janga idara ya polisi inahojiwa.
 
Hakuna wa kumlinda nae atajikuta pabaya acha ajikabidhi kwa Mungu na malaika wa Bwana atasaidika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom