Hii nakubaliana nawe ujiuji oooooh!bujibuji.Unajua hata kipind mi niko chuo,vijana wengi walikuwa wanapropose kuoa walimu,sababu zao zikiwa ni hizi
1. Niwavumilivu wana uwezo wa kushi mazingira yoyote
2. Ni watu wabajeti sana,yaani wanajua kuipangilia fedha.
3. Kazi yao haina interaction na mabazazi wa wake za watu maofisin kama ilivyo ofisi nyingine,kwan mara nying staff za walimu zina walimu wa kike.hvyo social interaction yake ni yeye na wanafunzi zaid na familia zao
3. Ukioa mwalimu lazima wanao watasoma hata angalau f4 kwani wanaona fetheha yeye kuwa mwalimu halafu asiwe na mtoto hata mmoja aliyesoma hivyo wako radhi hata kuba paper ilimrad mwanae afaulu.