Walimu wadada mbona mmepinda sikuhizi?

Walimu wadada mbona mmepinda sikuhizi?

Tatizo la ajira limesababisha wengi wakimbilie huko kwa kuogopa maisha na shurba za soko la ajira ilhali hawana mapenzi wala wito kwa kazi hiyo.
 
Stori zao ni za wanaume wenye hela + maisha mazuri ndo habari zao. Hawana lolote kwanza.
 
Haya waalimu hongera zenu,wanasheria wanawake typo hapo?ukitaka kuishi kwa uwakika uoa malkia Wa nguvu kaka achani kutudefine kupitia kada zetu
 
Sio kama zamani nimetoka na walimu sita kwa kweli sio wa kuoa labda kuzugia tu.
 
Walimu wepesi sana hasa waliomaliza vyuo kuanzia 2011 mpaka sasa ...wanatumika kweli tunapishana nao kwenye social media tu....na vinguo vyao visivyo na maadili....
 
sio kweli inno..miss mzumbe ajafika?.hawa walimu achana nao wana kazi ya kutulelea watoto wetu,alafu wewe unawaongezea stress nyingine
Hawa unawatetea tu.,.mkuu walimu wa primary na wa secondary za mijini wepesi sana kuna kamoja nilikapa laki tano kakapagawa kweli.
 
Hawa unawatetea tu.,.mkuu walimu wa primary na wa secondary za mijini wepesi sana kuna kamoja nilikapa laki tano kakapagawa kweli.
siwatetei mkuu,walimu bado hadhi yao ipo juu kimaadili ukilinganisha na kada nyingine,utandawazi umewafanya na wenyewe wawe wa kileo.,ila micharuko ni mingi siku hizi kwenye hii kada..
 
Back
Top Bottom