Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,798
hao sitaki hata kuwasikiakada wa ccm wafuate
hao sitaki hata kuwasikiakada wa ccm wafuate
Aisee kumbe upo! heshima yako..[emoji12]Madam rubii
kada imevamiwa......mpaka wazazi wakienda hovyo shuleni kwao lazima hawa wadada waalimu wakukule.siwatetei mkuu,walimu bado hadhi yao ipo juu kimaadili ukilinganisha na kada nyingine,utandawazi umewafanya na wenyewe wawe wa kileo.,ila micharuko ni mingi siku hizi kwenye hii kada..
Mkuu, mbona unanitakia mabaya hivyo?natamani ungeoa huko wakutese mpaka ukimbie mjini.[emoji12]
Walimu vimodel tuna hali ngumu kwakweliWanafunzi wote watafeli kwa kushangaa madam model/cutelicious!
True kabisa...sema watu bado wanaishi kizaman..sikuizi hata haiba zenyewe si kama za enzi izo...mwalimu anaweza kukupigia umin skert mwenyw ukabrowThere is no permanent situation in life, things keep on changing. Walimu wa zamani sio wa sasa. Wanaweza kukuangusha mbaya kama utaweka tumaini lako kwao katika ndoa. Mke mwema yu atoka kwa Bwana, hivyo wako wema wengi tu katika kada mbali mbali, omba sana ili Muumbaji akukutanishe mwe mwenzi sahihi.
mkuu nilimsikia Mhubiri mmoja ADAM HAJI alisema 'Mungu siku hizi hatafutii watu wake kuepuka lawama kama za ADAMU.pale Eden alivyodanganywa na HAWA. alimwambia mungu kuwa mke uliyenitafutia ndiye amenifanya niasi'There is no permanent situation in life, things keep on changing. Walimu wa zamani sio wa sasa. Wanaweza kukuangusha mbaya kama utaweka tumaini lako kwao katika ndoa. Mke mwema yu atoka kwa Bwana, hivyo wako wema wengi tu katika kada mbali mbali, omba sana ili Muumbaji akukutanishe na mwenzi sahihi.