Walichofanya HELSB sio haki!

Walichofanya HELSB sio haki!

Huyo ni wewe na hao

Kuna watu bila Hilo boom hawaishi na kumbuka mtu akizoea kupata Hilo boom anaweka Kama chanzo namba moja cha uchumi Kwa sababu ndio kazi yake kutumika chuoni na ndio chanzo anachoamini ni cha uhakika

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Sasa vitu vingine kulalamika Sana sio solutions serikali ishakata panga na hyo hela ni mkopo, kikubwa nikukubaliana na hali
 
Kulalamika ni njia ya kupunguza hisia Kali ambazo ni hatari Kwa Afya ya akili

Usimzuie mtu kulalamika hata wewe Leo mwanao akilalamika muache usimzuie na hasa zaidi Kama ana hoja ila muangalie awe na mipaka

Hoja yako hai-make sense.

Kwahiyo wasilalamike pesa yao itarudishwa bila kulalamika bodi nikawaida kuleta pesa missallocated njia ambayo wanafunzi wanatumia ni malalamiko mpaka Heslb yenyewe kuna Form kwaajiri ya wanafunzi ambao wanaona sehemu haiko sawa.

Elewa 'kulalamika' ni njia inayotambilika sisi tushwai punguziwa 200,000 tuliifatilia sana ikarejeshwa tungekaa kimya je.
 
Haya wadai basi wapate hyo hela maana mda unaisha huo
 
Kulalamika ni njia ya kupunguza hisia Kali ambazo ni hatari Kwa Afya ya akili

Usimzuie mtu kulalamika hata wewe Leo mwanao akilalamika muache usimzuie na hasa zaidi Kama ana hoja ila muangalie awe na mipaka

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mimi sijazuia mtu kulalamika ni maoni yangu tu kuhusu hili swala Wala haihusiki na kunyimana Uhuru wowote
 
Shida unaishi chuoni hafu unapanga ka mfanyakazi kwa kutegemea boom, badala mubaki hostel Tena sikuhizi Kuna Magufuli hostel hazijajaa, hyo hela ya kuishi kitaa Bora uhifadhi ufanyie ujasiriamali
Boss maisha ya hostel Ni magumu kuliko ya nje
 
Hostel huwa cheap Sana tofauti na kujitesa kupanga, Kodi ya nyumba, umeme, maji, bado vitu vya ndani ukitulia hostel unaweza ku save vizuri tu, kaa kitaa ukiwa na kipato, hyo hela ya Kodi Bora kuanza ujasiriamali maana maisha after chuo ni msiba mzito
 
L

hapo kaongopa nasubiri elezee, kupanga nje ya hostel ikiwa access ya hostel za chuo unayo hapo umeamua mwenyewe kujipa gharama usilaumu mtu.
 
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi. Si bora niache tu?
Si ulishakula ya boom advance sasa unalilia nn?
 
Mbona Kuna vyuo wamepewa 163,000
Mimi sisomi chuo ila nilikuwa mnufaika. Unakopeshwa kwa siku unazosoma chuo, hata sisi kuna vyuo vingine walikuwa wanapata tofauti kidogo kulingana na siku wanasoma. Swali ni je wakipiga hesabu ya kiasi x siku za masomo, pesa ni pungufu? Kama ni pungufu wakadai, lakini kama iko sawa, wanataka zaidi ya nini? Hii ni bodi ya mikopo ya elimu sio mambo mengine.
 
Shida ipo kwenye kumaliza ada mkuu, hatuhitaji pesa ya kula Bata wala nn
 
Back
Top Bottom