Kisalilo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 1,880
- 2,111
Wewe si ndiyo ukikaa mtaani unasifia uchumi wa kati?Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi. Si bora niache tu?


