Walichofanya HELSB sio haki!

Walichofanya HELSB sio haki!

Huo mkopo mnavyo ulilia subirni muingie job ndo mtajua hamjui
Kauri kama hizi wanatoaga wale wanaotumiwa pesa na wazazi wakiwa chuo, thamani ya mkopo chuoni ni ×100 zaidi hata ukiulipa mpaka unakufa kwa watoto wakimaskini ndio wanaelewa hilo.

Unajua wangapi wamekosa kwenda chuo kwasababu hawakupata mkopo alafu unazungumza mambo ya kulipa.
 
Hii post nataka ibaki hapa hapa jukwaa la siasa maana inahusu mustakabali wa vijana wetu ambao wapo vyuoni

Nimeliona hili bandiko

Kesho nitakunywa sumu
Nimeshangazwa na kitendo cha bodi ya mikopo kuwapunja wanafunzi pesa yao ya kujikimu kwa madai ya muda wa masomo vyuoni ni mdogo kinyume na mkataba huu ni upumbavu wa hali ya juu

Nitashangaa sana kusikia kwamba bodi ya mikopo wametumwa na Rais au hata waziri kufanya hilo kwa wanafunzi

Pesa ya kujikimu vyuoni huwa ni laki 530000 wanapewa, lakini wamepewa laki mbili tu huku marejesho wakija kutakiwa kurejesha laki 530000 hiyo hiyo.

Loan board wamegeuka wabinafsi, watu wenye mihemko na wasiojali wanafunzi ambao wengi ni maskini

Inashangaza sana na kusikitisha sana kwamba mpaka dakika hii wahusika wapo ofisini na wameachwa tu na hapo ndo naanza kuamini kwamba hii ni amri kutoka ngazi za juu

Inasikitisha sana kuona hili limetokea na nikumbushe kwamba wanafunzi wa toka mwaka 2019 November hawajapewa laki mbili ya books and stationery ambayo hutolewa

Swali hizi pesa kwani ni za bure?Jibu ni kuwa wanazilipia,na kinachoshangaza ni kuwa ijapo wamepewa laki 2 na mkataba umesema ni laki 5 watakuja kulipia hiyo laki 5 yote japo walipewa laki 2

Nitashangaa sana kama loan board wanaweza kufanya maamuzi ya ajabu namna hii bila kuzingatia utashi na kanuni na wahusika wapo tu ofisini
Yaani Hslb inanyanyasa Sana wanafunzi na hizo hela utadhani siyo mkopo.
Hayo maamuzi yangefanywa na Kwenye ulipaji wa ada na direct cost maana wanafunzi wamelipa direct cost inayohesabiwa kwa siku.
 
Ndo maana vijana tuna stress nyingiii
 
Tatzo matumizi yao mabaya. Nakumbuka enzi hizo nasoma ili kupunguza matumizi watu tulichangia chumba watu wanne km njia moja wapo ya kupunguza gharama.
Mkuu siyo kwamba matumizi mabaya, unakutaka wakati mwingine unapanga na unaanza maisha ya kujitegemea mbona hyo Ni pesa ya kawaida sana? Au ulitaka tukae vyumba vya 5000?
 
Mkuu siyo kwamba matumizi mabaya, unakutaka wakati mwingine unapanga na unaanza maisha ya kujitegemea mbona hyo Ni pesa ya kawaida sana? Au ulitaka tukae vyumba vya 5000?
Chumba cha 30,000 mnachangia watu watatu. Hicho n kipind cha mpito mnapita mnasonga na maisha yenu. Au unataka ukae peke yako ili utafune dada zetu vizuri
 
Chumba cha 30,000 mnachangia watu watatu. Hicho n kipind cha mpito mnapita mnasonga na maisha yenu. Au unataka ukae peke yako ili utafune dada zetu vizuri
Mulikaa kwa utaratibu huo kipindi chote cha miaka mitatu chuo???
 
Tatzo matumizi yao mabaya. Nakumbuka enzi hizo nasoma ili kupunguza matumizi watu tulichangia chumba watu wanne km njia moja wapo ya kupunguza gharama.
Kwani amesema 120,000 kodi kwa mwezi au ni kodi ya miezi kadhaa?
 
Chumba cha 30,000 mnachangia watu watatu. Hicho n kipind cha mpito mnapita mnasonga na maisha yenu. Au unataka ukae peke yako ili utafune dada zetu vizuri
Pia tukumbukue vyumba maeneo ya karibu na vyuo bei zake hua zinakuaje.
 
Back
Top Bottom