Walichofanya HELSB sio haki!

Walichofanya HELSB sio haki!

Bodi ya mkopo wanatoa pesa ya kujikimu ukiwa chuo. Ukipiga hesabu ya siku utakazokuwepo chuo kwa kiasi cha siku moja haziko sawa?
 
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi. Si bora niache tu?
Acha tu kwani inakula kwa nani

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanao comment hapa wanaojifanya wanakupa moyo, basi hao ni wadaiwa sugu serikali inawatafuta, hawataki kulipa

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tena hivi vitoto vya chuo ndio vimejaa u-ccm na kuishi Kama wazee. Acha vimenyeke kisawasawa Hadi vikome.
 
Acha matusi wewe kila mtu ana Hali ngumu mno Tena ngoja umalize uje kitaa ndo utalia Hilo bumu hifadhi liwe mtaji bila hivo utachizika bure
Sasa unaelewa unachosema

Mimi Niko mtaani pia

Hao wanafunzi unaelewa Hali zao?
Huo Kama ww Una faida ya kutengeneza pesa na kutumia manake ukilala njaa umezembea?
Wao hawa wanategemea kukopeshwa Kwa mujibu wa mikataba waliyoingia na bodi na wanaingia ktk madeni wakitegemea boom ili walipe waishi wengine wanategemea boom walipe Ada hiyo laki 3 au 2 itafanya yote hayo na asaliwe na pesa ya kujikimu hasa chakula ?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Jongeeni sanduku la kura Oct enyi viumbe tukawafyekelee mbali hawa watu ili kuleta Tz mpya.
 
Sasa unaelewa unachosema

Mimi Niko mtaani pia

Hao wanafunzi unaelewa Hali zao?
Huo Kama ww Una faida ya kutengeneza pesa na kutumia manake ukilala njaa umezembea?
Wao hawa wanategemea kukopeshwa Kwa mujibu wa mikataba waliyoingia na bodi na wanaingia ktk madeni wakitegemea boom ili walipe waishi wengine wanategemea boom walipe Ada hiyo laki 3 au 2 itafanya yote hayo na asaliwe na pesa ya kujikimu hasa chakula ?

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Maisha ya kitanzania mbona yanaeleweka tu vizuri Kuna wanafunzi hawana kAbisa bumu na wameridhika tu maisha yanaenda, kulalamika sio solutions mbona Kuna waraka ulitoka kuhusu hyo, Mimi mwenyewe nimekuwa mwanafunzi na Hilo bumu kwangu sikuona umuhimu wake, level nyingine nilisoma bila bumu and I survived. Kufurahia bumu ni raha siku makato yake yakianza na ajira hizi za serikali mishahara midogo tu utajuta
 
Huyo ni wewe na hao

Kuna watu bila Hilo boom hawaishi na kumbuka mtu akizoea kupata Hilo boom anaweka Kama chanzo namba moja cha uchumi Kwa sababu ndio kazi yake kutumika chuoni na ndio chanzo anachoamini ni cha uhakika

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mulikaa kwa utaratibu huo kipindi chote cha miaka mitatu chuo???
Tulikaa miaka miwili then yupo aliyemaliza alkua mbele yetu tukapata mwingine tulioelewana mpk tukamaliza chuo vizuri tu. Tatzo lilikua kwenye exile tu huchelewi kulazwa nje siku mojamoja
 
Tulikaa miaka miwili then yupo aliyemaliza alkua mbele yetu tukapata mwingine tulioelewana mpk tukamaliza chuo vizuri tu. Tatzo lilikua kwenye exile tu huchelewi kulazwa nje siku mojamoja
Sawa tupige mahesabu

Mtoa mada anadaiwa 120K ambayo ya miezi sita kodi ya 20K kilamwezi.

Wewe hapo ungedaiwa 60K ambayo kodi ya miezi sita ya kuchanga 10K kila mwezi.

Tufanye mtoa mada alitumia utaratibu wako na anadaiwa 60,000 ya kodi unahisi iyo kodi isingemfanya alalamike kwa scenario iliyotokea.
 
Tatzo matumizi yao mabaya. Nakumbuka enzi hizo nasoma ili kupunguza matumizi watu tulichangia chumba watu wanne km njia moja wapo ya kupunguza gharama.
Matumizi mabaya sio hoja. Watu wazima na akili zao wana matumizi mabaya lakini mishahara yao ipo pale pale. Tusitafute visingizio visivyo na mbele wala nyuma. Heslb wawape hawa madogo hela zao zote.
 
Back
Top Bottom