Wengi wakifika chuo hujimwambafai kwa kuji Dai kupanga nje Sasa matokeo maisha yanakuwa magumu, udsm yenyewe Kuna hostel hazina watu kabisa why ukae nje, enzi nzetu hakukuwa na Magufuli hostel watu walikuwa wanabebana kwa kwenda mbele, Tena enzi hzo mtu ukitoka kazi nje nje had walimu wa Art's Sasa vijana Zama hizi unatoka chuoni na bachelor degree ya medicine unasota kitaa, kwanini usifanye ka saving ka kuanzia maisha jamani ka mtaji!?L
hapo kaongopa nasubiri elezee, kupanga nje ya hostel ikiwa access ya hostel za chuo unayo hapo umeamua mwenyewe kujipa gharama usilaumu mtu.
Kazi ya mkopo wa meals and accomodation sio kulipa ada.Shida ipo kwenye kumaliza ada mkuu, hatuhitaji pesa ya kula Bata wala nn
Maisha ni jinsi unavyoyachukuliaMaisha wakati mwingine sio ya kuyachukulia serious, jamaa kaja hapa kulia akati nina rafiki angu alikua anapewa elfu 20 kwa mwezi and she tried to be happy.
Kwahiyo wewe bado unajuaga KURA ndiyo inamuweka mahali unapomuona?CCM wakati mwingine sijui huwa hawafikirii. Utafanyeje madudu haya wakati wa uchaguzi mkuu? Ni kujiongezea liability tu kwa wapiga kura bila sababu ya msingi halafu utasikia ooh serikali ya wanyonge. Wanyonge mai futi![]()
MkuuMkuu ingekuwa kwanza vyema uombe mod wabadilishe heading maana maneno huumba watu husema
MIT. :18:21
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
Pili nikupe pole kwa hilo lililotokea kabla ya kufikiria kukata tamaa angalia njia nyingine unavyoweza kusurvive ktk mazingira hayo usikubali kufa kizembe
kweli,ulipotelea wapi ?Maisha ni jinsi unavyoyachukulia
Mfano chuo kikuu Ardhi kuna hostel gan paleShida unaishi chuoni hafu unapanga ka mfanyakazi kwa kutegemea boom, badala mubaki hostel Tena sikuhizi Kuna Magufuli hostel hazijajaa, hyo hela ya kuishi kitaa Bora uhifadhi ufanyie ujasiriamali
Nimesemea udsm, hata hivo watu hubebana kwenu Hali ngumu hafu hujimwambafai kupanga mtaani utalia machozi mengi Sana Bora kubebwa upange budget ulipe adaMfano chuo kikuu Ardhi kuna hostel gan pale
Asante sana mkuuMkuu
Huu ukristo unakopia dunia nzima vifungu unavyodhani wanadamu wote tuliomo humu lazima tunavijua ni ubwege fulani hivi...
Jibu hoja bila kuweka imani zako za dini maana dini ni mambo binafsi ya mtu...
Hua nashindwa kuelewa watu wa aina chungu nzima wanakusikiliza na hatuzungumzii dini,ila vichwa vilivyojaa ma-imani yenu binafsi mnaanza kuangusha mavifungu mliyokaririshwa kwenye mavitabu walioandika wanadamu wapumbavu kama wewe na mimi eti mungu ndio alichapisha hicho kitabu sijui kawa author lini..
Jibu ishu kwendana na maudhui husika..sio kila kitu dini yako,kila mtu ana yake...
Tukianza kutoa vifungu vya kila mtu na dini yake JF itakua mavi matupu
Sawa mkuu nyie ndo wakwanza kusoma chuo Kikuu wengine tulisoma chini ya miembe, informal educationWe hujui ugumu tunaopitia kaa tulia au ulizia uambiwe
MkuuAsante sana mkuu
Ila ingekuwa vyema tu wewe ukijibu kwa mlengo huo unaoupendekeza maana mimi nilichagua huu nilioujibia wala hakuna shida, kuhusu watu kusoma wala sijamlazimisha yeye asiyependa kile nilichosema akisome anaweza kuskip tu akaendelea na mengine yanayomfaa. Ingawa nashukuru mod kile nilichoshauri kwa mchango huo na wengine mod walirekebisha heading
Shukrani.