Walichofanya HELSB sio haki!

Walichofanya HELSB sio haki!

Huyo ndio JIWE nayemjua MIMI kwenye issue za PESA yaani akishaona hela kama hiyo inaenda huku anaona kama INAPOTEA na ndio maana akasema ipunguzwe dawa yake muonyesheni kwenye sanduku la KURA!!
Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.

Sijui ana shida gani na hao watu.
 
Bodi ya mikopo jitafakalini muone wapi mnakosea.

Na mjiulize Tena kwanini kila siku mnasemwa ninyi tena si kwa mazuri Ni mabaya kila siku.

Si wanafunzi si wafanyakazi Bali wore wanawasema vibaya.

Hebu muache uonevu hii dunia tunapita tu.
Kwani mkiwapa hao wanafunzi hiyo laki 3 mlioikata mnapungukiwa Nini?.

Kumbukeni hiyo Ni pesa ambayo baadae watairudisha Tena kwa makato makubwa ya kuudhi.

Yangu Ni hayo tu.
 
Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.

Sijui ana shida gani na hao watu.
Nafikiri ni masharti ya kiganga..

Sijawahi ona mtu ka huyu.
 
Aliyeshiba amuoni mwenye njaa
Wewe bila shaka utakua afisa wa Heslb ndo maana unangangania uzi ufutwe ili muweze kuhalalisha ubaradhuri wenu mnaowafanyia wanafunzi
hpn mkuu kimsboy
huu uzi wa mtu kutaka kujiua haufai kuwepo! kumbuka nimejikita zaidi kwenye title
 
Ni hatari mwanangu kanitumia meseji kwamba amepigwa za chembe na HESLB inabidi jumamosi nifanye mchakato wa kuuza kuku wangu wa bagamoyo ili nimuongezee BOOM.
Ndiyo maana wazazi hua mtoto akisema ajira hamna hua mnaona analeta masikhara kwa jinsi nyinyi mlivyojibana kuhakikisha wanamaliza chuo.

Hadi leo nikimuambia mzee ajira ngumu na sijapata ananiambia sijitumi kutafuta. Mi naamini kusingekua na tatizo la ajira wale wanufaika tungekua tumeajiriwa kwa wingi na kukatwa % yao ingebust hawa wengine kupata angalau kidogo ili kupunguza makali.

Nikutakie kila la kheri kumsomesha mtoto.
 
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi. Si bora niache tu?

Hawa ndo was ili wetu hawa!
 
Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.

Sijui ana shida gani na hao watu.
Na jana amejimwambafy kwa kutoa bil 2 kujenga makazi ya wanatakukuru, ila swala la maslahi hilo kasema acha kwanza! Vitu kwanza, watu baadae
 
Samahani,
Kwani wamekata/punguza kiasi gani?
Na jee ni semister hii tuu sababu ni fupi au ndio jumla jumla?
 
Hajawahi kukosa pesa za kujenga barabara,madaraja,airport na kwny miradi ya dizaini hio anasemaga kabisaa nchi hii ni tajiri ina mafedha mengiiiiii lkn ikija kwny stahiki za wafanyakazi/wanafunzi/wakulima hapo lazima watu walizwe tu.

Sijui ana shida gani na hao watu.
Huko hakuna Upigaji kungekuwa na CHA JUU wangekuwa wanapata si unajua JIWE MTU WA FURSA si Umeona alivyotupiga MV DAR-ES-SALAAM?
 
Ndiyo maana wazazi hua mtoto akisema ajira hamna hua mnaona analeta masikhara kwa jinsi nyinyi mlivyojibana kuhakikisha wanamaliza chuo.

Hadi leo nikimuambia mzee ajira ngumu na sijapata ananiambia sijitumi kutafuta. Mi naamini kusingekua na tatizo la ajira wale wanufaika tungekua tumeajiriwa kwa wingi na kukatwa % yao ingebust hawa wengine kupata angalau kidogo ili kupunguza makali.

Nikutakie kila la kheri kumsomesha mtoto.
Ukweli Mkuu!! Thanks!!
 
Unajua kuna wanafunzi mwishoni mwa miezi miwili ya Boom wanakuwa na maisha magumu vibaya pasi ndufu, mikate kutwa x3, hajui kesho anakulawapi wanakula kwa kukopa then Boom liwe limetoka message ya simbank imeingia asiende kuweka finger aokoke na njaa, nakubaliana na wewe ila labda utekelezaji uwe wa haraka sana siku 3 nk ila kuongea tu mambo kwa ground sio rahisi wanafunzi watazana Venue zote za kusaini ataegoma ujue ana pocket money katumiwa na wazazi.
 
Tatizo Mtanzania kwenye mkataba ni mwepesi ku saini bila kusoma na pia mkataba unaeza usiwe na faida kwakwe endapo haki yake itachukuliwa yaani hajui kudai haki yake (kama la kukatwa asilimia 8 hadi kufika 15 halikuwa kwa mkataba ila linafanyika sa hivi na wakudai hili hamna)

Turudi kwenye mada. Ndani ya mkataba kuna sehemu inasema Mkopo unaeza badilika kutokana na mabadiliko. Sasa hayo mabadiliko ndo haya, kwamba siku zakukaa chuoni zimepungua alafu boom mtu hupewa hela kutokana na siku anazokuwepo chuoni kimasomo. Hi ndo sababu hata wanaosomea MD(Doctar) kuwa na boom kubwa kuliko wengine maana wanakaa chuoni kimasomo muda mrefu
sasa Hapo kosa lao lipi?
Kama wamehesabu idadi kamili ya wanafunzi wawapp chuoni.

Kama watapunguza hiyo hela alafu mwisho wa siku muone kwenye deni ipo hapo ndo kuna haki kulalamika ila wamehesabu siku zakukaa chuo na kuwapa kinachostahili mnalalamika.

Tena asije dhubutu mtu kuandamana mana utajikuta u mwaka wa tatu au wa mwisho na chuo humalizi.
 
Back
Top Bottom