Walichofanya HELSB sio haki!

Umomi

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
677
983
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.

Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
 
Mkuu ingekuwa kwanza vyema uombe mod wabadilishe heading maana maneno huumba watu husema

MIT. :18:21
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.

Pili nikupe pole kwa hilo lililotokea kabla ya kufikiria kukata tamaa angalia njia nyingine unavyoweza kusurvive ktk mazingira hayo usikubali kufa kizembe
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi
Maisha wakati mwingine sio ya kuyachukulia serious, jamaa kaja hapa kulia akati nina rafiki angu alikua anapewa elfu 20 kwa mwezi and she tried to be happy.
 
Back
Top Bottom