Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,593
Kuna mambo yanaumiza sana kwa walichokifanya Heslb Mungu anawaona
Kwa umri wao acha wawaze tu hivoAcha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi
Tajiri huyo.Kwa nini ulipe kodi ya nyumba 120000

.Acha mambo ya ajabu. 120,000 si ni sawa na 20,000 @ month hela ndogo kabisa kuwahi kusikia ikiwa kodi ya chumba.Tajiri huyo.
Amepanga chumba analipa laki na 20 halafu analalamika maisha magumu.
Sijaelewa unahitaji nini haswa?Boom sina, nadaiwa 300,000 ya ada kumalizia na mkopo wa 75,000 kwa friends.
Nadai 150,000 ambayo najua sitapata (bad debt) na 20,000 ambayo nitapata.
Kama mwezi uliopita jamaa mmoja ana uswahili akataka nimkopeshe hela anunue sabufa ili awapagawishe mademu zake wakija ghetto. Akadai akipata boom anirudshie, najua asingerudisha kwa hali hii.
Kuna girl alinichunia last week leo akanitext mchana eti nimtumie hela ya kula ana njaa. Sikumjibu kabisa akaja kutext jioni eti alikosea ile text, nafunga vioo najua hali si shwari.
Kuna mwingine huyo ni rafiki wa muda sana akalia shida na 10k. Nikaona kwa kuwa mlokole huyu nampa atakuwa ana shida kweli.
Tukio la HESLB sijalipokea vema maana tutasumbuana na watu uko, na hivi vigali vinavyoshusha na kubeba watu hapa vitaongezeka kwa sana.
Mkuu umenikimbusha mbali sanaBoom sina, nadaiwa 300,000 ya ada kumalizia na mkopo wa 75,000 kwa friends.
Nadai 150,000 ambayo najua sitapata (bad debt) na 20,000 ambayo nitapata.
Kama mwezi uliopita jamaa mmoja ana uswahili akataka nimkopeshe hela anunue sabufa ili awapagawishe mademu zake wakija ghetto. Akadai akipata boom anirudshie, najua asingerudisha kwa hali hii.
Kuna girl alinichunia last week leo akanitext mchana eti nimtumie hela ya kula ana njaa. Sikumjibu kabisa akaja kutext jioni eti alikosea ile text, nafunga vioo najua hali si shwari.
Kuna mwingine huyo ni rafiki wa muda sana akalia shida na 10k. Nikaona kwa kuwa mlokole huyu nampa atakuwa ana shida kweli.
Tukio la HESLB sijalipokea vema maana tutasumbuana na watu uko, na hivi vigali vinavyoshusha na kubeba watu hapa vitaongezeka kwa sana.

Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi. Si bora niache tu?
, viva magufuriJamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi. Si bora niache tu?
Daah poleni sana jamaniTulia mkuu mm mwenyewe sielewe.. nabaki tu najipa tumaini kesho itakua njema.
All is well..Mungu ndio anapanga hatma yetu.
Hajatusahau
Huyo ndio JIWE nayemjua MIMI kwenye issue za PESA yaani akishaona hela kama hiyo inaenda huku anaona kama INAPOTEA na ndio maana akasema ipunguzwe dawa yake muonyesheni kwenye sanduku la KURA!!Mkataba unasema ni laki tano then unawapa wanafunzi laki 2 huku Watumishi wabunge,mawaziri na marudio ya chaguzi zisizo na tija yakila mabilioni ya pesa
Pesa za ndege mnazo lakini pesa za mikopo hamuna
Pesa za kufanya mambo yasiyo na tija kwa taifa munayo lakini za kuwapa wanafunzi mikopo hamuna
Wanafunzi msijiloge mkasaini hilo boom nawaambia msisaini ambacho hamjakielewa ni kinyume na kanuni walizoweka hao hao bodi ya mikopo
Ni mambo ya hovyo yanaendelea huku mkijimwafai kwamba tutembee kifua mbele nchi ina pesa mara tupo uchumi wa kati lakini hata wanafunzi wenu mnawanyima mikopo ya kusoma na hilo boom mnawapunja huku billions of money zikinunua madege mabovu,na kununua madiwani na wabunge
Wanafunzi msisaini msichokijua hilo boom msilisaini kabisa hadi pale mambo yatakapowekwa kwenye uwazi!