Walichofanya HELSB sio haki!

We unadhan ningekuwa mkoa Kama bukoba au mbeya ningelilia Kodi?
Ulivyoanza mwaka wa 1 wengi mnakuwa mnaishi wawili ila mkishakijua chuo mkapata mademu mnaanza kujitenga ndo upambane umeyataka mwenyewe
 
Heeeeh weee kaka jamaniii hebu tupe faraja mmmmh, hujui tunaumia kias gan, by the way almost wanachuo hawapigagi kura, kutokana na muda na eneo husika analokuwepo.

Poleni sana jmn najua maisha bila pesa chuoni ni mateso sana, wengi huishia kudanga kwa wadada
 
Poleni sana jmn najua maisha bila pesa chuoni ni mateso sana, wengi huishia kudanga kwa wadada
Jamaniiiih yaaan hali n mbaya kwakweli, tunaumia had baas, lol Jah atusaidie tyuuh [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Jamaniiiih yaaan hali n mbaya kwakweli, tunaumia had baas, lol Jah atusaidie tyuuh [emoji24][emoji24][emoji24]

Punguzeni matumizi sasa acheni kunywa Hannesy, Saint anne saivi kunywani kitoko, shingwaa
 
Punguzeni matumizi sasa acheni kunywa Hannesy, Saint anne saivi kunywani kitoko, shingwaa
Duuuuuh dhambi hizi kaka, mie hata aina ya soda yeyote sinywi. But HELSB wanatuumiza sana kiukweli aaaaah
 
Duuuuuh dhambi hizi kaka, mie hata aina ya soda yeyote sinywi. But HELSB wanatuumiza sana kiukweli aaaaah

Bora tu uendelee kuwa mlokole ila usije badilika maana chuo ni zaidi ya mjini, ila HELSB vumilieni hii imewaumiza sana hasa wale wanao tegemea hiyo pesa kulipa ada
 
Kimsboy Mwanapropaganda Muqawama Wa KiShia, Ahsante kwa mchango Boss
 
Bora tu uendelee kuwa mlokole ila usije badilika maana chuo ni zaidi ya mjini, ila HELSB vumilieni hii imewaumiza sana hasa wale wanao tegemea hiyo pesa kulipa ada
Mie sio mlokole wala msabato, ni RC pureeeeh ila tyuuuh nna allergy na vinywaji vya viwandani. Hata km n matumizi tyuuuh haitoshi kaka lol. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…