Walichofanya HELSB sio haki!

Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.

Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Sasa Kama umeshaona hivyo so uache tu chuo!? Haya yote ya Nini! Shida unatafut hela ya kubet! Kupanga ni kuchagua!
 
Sasa Kama umeshaona hivyo so uache tu chuo!? Haya yote ya Nini! Shida unatafut hela ya kubet! Kupanga ni kuchagua!
Ameshafariki jamani na ameshazikwa, kwa mujibu wa mtu aliyekuwa anasoma nae
 
Kama amekufa apumzike tu maisha ya kujiua amejitamkia yeye,kama ni mapenzi wanawake wapo wengi mno kama ni pesa zipo yeye na utopolo wake kajiua anyway hatumcheki,kila mtu na uamuzi wake ila ukishauriwa na watu wengi na wakakuambia mambo ya kufanana basi sikia
 
kuna mtu humu jf alikuwa anaitwa mayala B alikuwa anamjibu kama wewe unavyojibu marehem miguu ya kuku mwisho wa siku nayeye hatunae humu
Kufa ni Jambo la kawaida uwe mwema, bubu, maskini tajiri Hilo ni tendo la asili ka kuzaliwa maandiko yanasema kuishi ni Kristo na kufa ni faida, so kifo huja tu kwa yoyote na Mimi nitakufa kazi yangu iliyonileta hapa duniani ikiisha nitarudi mavumbini na sio eti vile nime comments maoni yangu humu JF.
 
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Sad that He is no more.
 
So sad, JamiiForums organise kuhusu hili.
Tuendelee kutoa RIP kama kawaida yetu. Tuendelee kuhesabu vifo vya vijana wanaochukua hatua ya kutoa uhai wao kwa kukata tamaa ya maisha baada ya kuonyesha dalili zote za kufanya hivyo humu jukwaani.
Lini tutaamua kufanya kitu? A million dollar question.
 
Try to be sensitive just a little bit.
Achana na huu umwamba wa mitandaoni.In real life mtu ambaye ni suicidal hapaswi kusikia maneno kama uliyoandika hapa.Japo unataka kujifanya msela mavi sana.
Mfyuuu usinipangie maisha Tena unikome na Uhuru wa kufanya nijisikiacho siwezi kuwa mnafiki wa nafsi yangu ili nikufuraishe wewe na wengine. Hafu msela mavi ni yeye mnafiki tu, by the way jamaa Uzi ulikuwa wa uongo na hajafa na hata angekufa kweli Mimi inanihusu Nini?
Kufa ni lazima tu msijifanye kuwa wema.
Narudia Tena unikome kutaka kunipangia pangia, pangia hyo papuchi yako Mana ndo una mamlaka nayo. In short ur hypocrite and toxic thou you pretend to be nice, sijui nilikuwa wapi kuona hii quote siku zote. Mfyuuuu
 
Back
Top Bottom