Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Halafu wenyewe wako bizze na michakato mingine, cc huku tunanyooshwa tyuuhWajumbe![]()
Wanamalizia kula hela za madiwaniHalafu wenyewe wako bizze na michakato mingine, cc huku tunanyooshwa tyuuh

We si umesema tayari umeshaacha chuo uko zako unavua samaki?Kazi ipo kwa wale tuonao soma vyuo vya private ambazo inatakiwa tuongezee ada na Ni kubwa mnoo. Yani tukifanya UE msimu huu basi Mungu atakuwa kasaidia
Kwan kuacha chuo kunanizuia kutetea wenzangu waliopo chuoni?We si umesema tayari umeshaacha chuo uko zako unavua samaki?
Kwako kijana unaliyemaliza chuo au unatarajia kumaliza Chuo
Mlipofungua tu chuo si mlipewa boom kitu kama tarehe 4 June mlipewa lak5 sasa hivi ata miez2 haijaisha mnapewa 300k mna raha Sana nyie madogo.Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.
Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Unadhan ata tunafanya shobo Sasa? But maisha ya chuo n magumu in natureMlipofungua tu chuo si mlipewa boom kitu kama tarehe 4 June mlipewa lak5 sasa hivi ata miez2 haijaisha mnapewa 300k mna raha Sana nyie madogo.
Tatizo mnapanga self ili mademu wakuone wa kishua kumbe wengi wenu mnatoka kajamba Nani .
Unapewa boom unaanza kununu saboofer,mtoto upo chuo kikuu ndani Una flat screen Una king'amuzi tena DStv .
Kwenu kijijini ulikotoka wazazi wanajibana ukute ndo wazazi wetu wenzangu na mm Baba na mama hawakikuona ata chuo cha certificate .Una boom bado unawapiga wazee mizinga mara mna tour ya kwenda bagamoyo laki2, semister ikiisha ikianza nyingine tour tena kondoa laki2 semister nyingine tour tena handeni tanga wapunguzieni wazazi mizigo acheni shobo mkiwa vyuoni.
Mademu utawakuta kazini piga kitabu panga nyumba ya kawaida kulingana na mazingira uliopo mfano vyuo vilivyopo iringa Moro mbeya mwanza shinyanga tabora kagera vyumba vya elfu25 mpaka 30 vipo.
Nimepita huko ishi kawaida utatoboa event zisizo na mashiko burn it .Unadhan ata tunafanya shobo Sasa? But maisha ya chuo n magumu in nature
Sema kweli umepita huko lkn vyuo vinatofautiana mfono hapa nilipo kinachoniumiza ada na Kodi. Nokisema nikaye hostel kwenye msosi n gharama kuzidi Kodi ya nyumba ya Ni Moto MotoNimepita huko ishi kawaida utatoboa event zisizo na mashiko burn it .
Arusha dar na Moshi ndiyo kunaweza kuwa na changamoto kwenye makazi vyumba bei iko juu Sana ila kama upo mikoani tafta sehemu affordable pia mnaweza kuishi wawili mkachangia room vijana wengi mnapenda ubinafsi kuishi kivyako vyako tafta mwana unae endana nae tabia mnakaa tu ..kaza buti utamaliza tu kijanaSema kweli umepita huko lkn vyuo vinatofautiana mfono hapa nilipo kinachoniumiza ada na Kodi. Nokisema nikaye hostel kwenye msosi n gharama kuzidi Kodi ya nyumba ya Ni Moto Moto
Malizia shule kisha ukapambane na kutafuta jero ya vocha mitaani. Ndo utajua kuwa nynya ni tunda ama ni mbogaJamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.
Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
We unadhan ningekuwa mkoa Kama bukoba au mbeya ningelilia Kodi?Arusha dar na Moshi ndiyo kunaweza kuwa na changamoto kwenye makazi vyumba bei iko juu Sana ila kama upo mikoani tafta sehemu affordable pia mnaweza kuishi wawili mkachangia room vijana wengi mnapenda ubinafsi kuishi kivyako vyako tafta mwana unae endana nae tabia mnakaa tu ..kaza buti utamaliza tu kijana
Inabidi umng'oe kadegree kake hakoooHalafu unaonekana una Kiburi wewe!
