Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,241
Bodi bhana, kijana kaona awahi R.I.P
Is he even smiling huko aliko?? dah' maskiini.!Usiogope hili litapita alafu utakuja kusoma hii thread huku unacheka.
The World is full of critics and chaosIs he even smiling huko aliko?? dah' maskiini.!
Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.




naona umetimiza kumpa sumu kafa kweli umomi (jokes bhana)
Mkuu ingekuwa kwanza vyema uombe mod wabadilishe heading maana maneno huumba watu husema
MIT. :18:21
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
Pili nikupe pole kwa hilo lililotokea kabla ya kufikiria kukata tamaa angalia njia nyingine unavyoweza kusurvive ktk mazingira hayo usikubali kufa kizembe
Ni kweli mkuu... Depression inaanza kuwa tatizo serious kwa sasaTuendelee kutoa RIP kama kawaida yetu. Tuendelee kuhesabu vifo vya vijana wanaochukua hatua ya kutoa uhai wao kwa kukata tamaa ya maisha baada ya kuonyesha dalili zote za kufanya hivyo humu jukwaani.
Lini tutaamua kufanya kitu? A million dollar question.
Wewe ndio ulienda kumkorogea jamaa wa watu sumu akafa eeh?Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
vipi ulimkorogea sumu?Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Tatizo watu huwa wanachukulia utani Kila Jambo humu.Tuendelee kutoa RIP kama kawaida yetu. Tuendelee kuhesabu vifo vya vijana wanaochukua hatua ya kutoa uhai wao kwa kukata tamaa ya maisha baada ya kuonyesha dalili zote za kufanya hivyo humu jukwaani.
Lini tutaamua kufanya kitu? A million dollar question.
Aisee.Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Hivi naanzaje kujiua kwa maisha ya duniani yalivyo matamu, ata ukiwa jobless ni furaha tosha. Ukishindwa kujizuia mawazo mabaya ya akili ndo mwanzo wa kuferi maishaTuendelee kutoa RIP kama kawaida yetu. Tuendelee kuhesabu vifo vya vijana wanaochukua hatua ya kutoa uhai wao kwa kukata tamaa ya maisha baada ya kuonyesha dalili zote za kufanya hivyo humu jukwaani.
Lini tutaamua kufanya kitu? A million dollar question.
Sijui kama alizingatia mawazo haya sadMkuu ingekuwa kwanza vyema uombe mod wabadilishe heading maana maneno huumba watu husema
MIT. :18:21
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
Pili nikupe pole kwa hilo lililotokea kabla ya kufikiria kukata tamaa angalia njia nyingine unavyoweza kusurvive ktk mazingira hayo usikubali kufa kizembe
Umemchelewa,katangulia.hiyo sumu uliyokoroga inywe mwenyewe.Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
Duuu wewe ndiye umemkorogea hiyo sumu iliyochukua uhai wake?Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.
How do you feel now?Acha ujinga wewe unafikiria wengine hawana matatizo mbona yako madogo watu Wana makubwa na hawajafikiria kujiua, hyo kesho nitafte nikukorogee hyo sumu siumechoka kula ugali na kula mema ya nchi.