Walichofanya HELSB sio haki!

Walichofanya HELSB sio haki!

Nacheka kama mazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah heslb wamewafanya vibaya madogo wenye boom
Miee nipo kweny hilo sakata acha tyuuuuh, nacheka ila naumia ndan kwa ndan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee acha tyuuh yaan inachekesha na kuhuzunisha at the same time,
Watu wamepiga bajeti za mihogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Heee[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sua wamepitwa Hadi na Mzumbe ya Mbeya!??!?
Bora Mzumbe wana laki 1 na 87[emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambiaje HELSB km commedy wanaiweza, king majuto akasome, yaaan unabaki kucheka nje unalia ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi ipo kwa wale tuonao soma vyuo vya private ambazo inatakiwa tuongezee ada na Ni kubwa mnoo. Yani tukifanya UE msimu huu basi Mungu atakuwa kasaidia
 
Poleeeeh best acha tupambane hivi hivi tyuuuh, hakuna namna sasa.
 
punguza elfu 16 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha haya.
Sasa Bora nyie kuliko wenzenu wa laki moja[emoji38]
 
Nakuambiaje HELSB km commedy wanaiweza, king majuto akasome, yaaan unabaki kucheka nje unalia ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaaan unadhan bila bajeti tutatoboa semester? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha tyuuuh yaan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu mtapewa nyingine mwezi November kama si December [emoji23]
 
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha haya.
Sasa Bora nyie kuliko wenzenu wa laki moja[emoji38]
Kuna mdau m1 leo chuo akauliza "hivi hakuna muhusika wa HELSB aliyetia nia ubunge kura za maoni, isijekua stress hizi" yaan watu tulikufa mbavu hadi baas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakikisheni mna kadi ya kupiga kura mwezi 10 pigieni CCM, saivi ishini na nyie kama mashetani mlijua ni matajiri tu ee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu mtapewa nyingine mwezi November kama si December [emoji23]
Daaaah huko mbali dea, saivi kwan tunawaza tutatoboa kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii commedy ya HELSB nahisi papa mobimba wa futuhi anajifunza kwa pembeni.
 
Kuna mdau m1 leo chuo akauliza "hivi hakuna muhusika wa HELSB aliyetia nia ubunge kura za maoni, isijekua stress hizi" yaan watu tulikufa mbavu hadi baas [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yawezekana kuna mtu wa heslb ametendwa na wajumbe.
Haiewezekani heslb wawafokee wanafunzi namna hii[emoji23]
 
Daaaah huko mbali dea, saivi kwan tunawaza tutatoboa kweli? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii commedy ya HELSB nahisi papa mobimba wa futuhi anajifunza kwa pembeni.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hakikisheni mna kadi ya kupiga kura mwezi 10 pigieni CCM, saivi ishini na nyie kama mashetani mlijua ni matajiri tu ee.
Heeeeh weee kaka jamaniii hebu tupe faraja mmmmh, hujui tunaumia kias gan, by the way almost wanachuo hawapigagi kura, kutokana na muda na eneo husika analokuwepo.
 
Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Yawezekana kuna mtu wa heslb ametendwa na wajumbe.
Haiewezekani heslb wawafokee wanafunzi namna hii[emoji23]
Wajumbe sio watu kabisaaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkataba Ni kupewa 2,080,000 kwa mwaka na mwaka wa masomo ulivyoanza walionyesha huo mkataba.
Kwanini wafokee wanafunzi na hela hizo??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba hicho kiasi hakijahesabu idadi ya siku?
 
Haijalishi kimehesabiwa au hakijahesabiwa ila kuvunja mkataba namna hii sio fair hata kidogo.

Direct cost imehesabiwa kwa idadi ya siku lakini ililipwa yote.
 
Back
Top Bottom