cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,653
SureOk!,km ni hivyo basi amekosea maana kuna maisha baada ya kukosa bumu.
SureOk!,km ni hivyo basi amekosea maana kuna maisha baada ya kukosa bumu.
Aisee nimecheka sana hii comment yako. JF hii dahWalau sasa umeanza kurudiwa na akili! Ulidhani hapa utapata huruma ya wananchi? kaa chonjo wewe!!






😂 😂 😂 😂 😂 😂Walau sasa umeanza kurudiwa na akili! Ulidhani hapa utapata huruma ya wananchi? kaa chonjo wewe!!
Mwenye shibe hamjui mwenye njaaKwa kawaida ilibidi vyo vifungwe mwezi wa 2-3 ambapo ni likizo ya mwezi kufungua mwezi wa 3-5 kulingana na karenda ya chuo husika mmefungua mwezi wa sita mmesoma mwezi mmoja au miwili vyuo vingine wamemaliza Final leo chuo means wamekaa mwezi mmoja na wiki kadhaa tu chuo wawape pesa ya boom la semister nzima ilihali mmesoma mwezi mmoja na wiki 3 asee jitafakari labda kama Mimi ndio sijaelewa iyo pesa inatosha sana wewe umeleta ulimbukeni wa kulipa kodi 120,000 ya nini au ndio mzee wa bata batani![]()
Halafu unaonekana una Kiburi wewe!We unadhan sijui maisha ya kitaa? Kwanza kwa taarifa yako maisha tuliyajua toka zamani sana
MKUU Masha yako ni muhimu kuliko icho kidgree unacho kitafuta hapo Chuo.Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.
Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.
Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Hao bodi ya mikopo mtawalaumu bure tu!! Kuna kubwa la maadui yupo nyuma ya sakata hilo, ambaye huenda ndio ametoa maagizo hayo, anawacha mvulugane kwanza, baadaye anaibuka na kuja kuchukua point tatu zake!!! Watu hao hao tena utasikia asante babaa, piga keleleeee!!! Tatizo analitengeneza mwenyewe halafu anakuja kulimaliza anapata ujiko!!!Hii post nataka ibaki hapa hapa jukwaa la siasa maana inahusu mustakabali wa vijana wetu ambao wapo vyuoni
Nimeliona hili bandiko
Kesho nitakunywa sumu
Nimeshangazwa na kitendo cha bodi ya mikopo kuwapunja wanafunzi pesa yao ya kujikimu kwa madai ya muda wa masomo vyuoni ni mdogo kinyume na mkataba huu ni upumbavu wa hali ya juu.
Nitashangaa sana kusikia kwamba bodi ya mikopo wametumwa na Rais au hata waziri kufanya hilo kwa wanafunzi.
Pesa ya kujikimu vyuoni huwa ni laki 530000 wanapewa, lakini wamepewa laki mbili tu huku marejesho wakija kutakiwa kurejesha laki 530000 hiyo hiyo.
Loan board wamegeuka wabinafsi, watu wenye mihemko na wasiojali wanafunzi ambao wengi ni maskini.
Inashangaza sana na kusikitisha sana kwamba mpaka dakika hii wahusika wapo ofisini na wameachwa tu na hapo ndo naanza kuamini kwamba hii ni amri kutoka ngazi za juu.
Inasikitisha sana kuona hili limetokea na nikumbushe kwamba wanafunzi wa toka mwaka 2019 November hawajapewa laki mbili ya books and stationery ambayo hutolewa.
Swali hizi pesa kwani ni za bure?Jibu ni kuwa wanazilipia,na kinachoshangaza ni kuwa ijapo wamepewa laki 2 na mkataba umesema ni laki 5 watakuja kulipia hiyo laki 5 yote japo walipewa laki 2.
Nitashangaa sana kama loan board wanaweza kufanya maamuzi ya ajabu namna hii bila kuzingatia utashi na kanuni na wahusika wapo tu ofisini.
Kumbe ndio maana dogo kanibomu hela zote zile
Nilikuwa simuamini amini![]()





Acha tyuuuh tuwa boom cc, hali ni mbaya kabisaah, hahahah mie tena naboom kwa kila anaenihusu aaaaah.Kumbe ndio maana dogo kanibomu hela zote zile
Nilikuwa simuamini amini![]()




Amada umelewa wewe ,sio bureSasa nidaganye ili nifaidike Nini napewa hela au maana watu wameacha vyumba wako kitaa kwa hiyari yao wewe Kama umekosa ni bahati yako mbaya tu, labda una mkosi wa kaniki au wa kunguru, kaongee na mawadeni wewe, kubebana Sana ilikuwa enzi zetu before magufuli hostel Tena ma block A ya wanawake lilikuwa hayajai yet watu walikuwa wanabebana tu.
Ongea na wenye connection.
By the way hapa siko kushindana kwa lolote au sijui nionekaneje naandika ninalojua na wewe andika unachopitia that's life hatafutwi mshindi so relax
Nyie watoto sio wa kuwaamini muda wote, maana mahitaji yenu yanaongezekaga 0.
Heslb imetoa laki 2Nyie watoto sio wa kuwaamini muda wote, maana mahitaji yenu yanaongezekaga 0.



Hivi mnajua lakini kuwa hali ni ngumu kotekote eeh?Acha tyuuuh tuwa boom cc, hali ni mbaya kabisaah, hahahah mie tena naboom kwa kila anaenihusu aaaaah.![]()
Wewe ka mlevi wa mataputapu sio wote wanywaji kunguru weweAmada umelewa wewe ,sio bure