Walichofanya HELSB sio haki!

Walichofanya HELSB sio haki!

Hivi mnajua lakini kuwa hali ni ngumu kotekote eeh?
Yeaah cc tunajua ila hakuna namna acha tuwaangukie tyuuuh, yaan jana na4wadiwa km text, namchek huyu anan 4wad kwa mwingne nlkua km mpira wa kona, [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] lakini lengo langu lilifanikiwa. Mtusamehe tyuuuh wallah
 
Mjibane hivyo hivyo itoshe[emoji85][emoji85][emoji85]
Wangesema tangu mwanzo watu wajipange kisaikolojia.
Mbona ada na direct cost vimelipwa vyote bila kujali muda uliopunguzwa!?!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wee dea acha tyuuh, unatazama hela unabaki kucheka tyuuuuh. Maan comedy sio ya nchii hii kulinganisha na uhalisia.
Watu wanaita vocha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwamba bajeti ya boom imeenda kufanya kazi nyingine [emoji848]
Mbona walimu walikuwa nyumbani na walilipwa,hizi za wanachuo zinawauma sana!?!!
Aki kuna vitu vinachekesha[emoji23][emoji23]kama movie[emoji38]
 
Mkataba, walimu tuna mkataba wa kudumu. Nyie mkataba wenu mwalipwa kulingana na idadi ya siku za masomo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tena tigo nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bajeti za mihogo Sasa[emoji38]
Screenshot_20200725-221142.jpg
 
Mkataba, walimu tuna mkataba wa kudumu. Nyie mkataba wenu mwalipwa kulingana na idadi ya siku za masomo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkataba Ni kupewa 2,080,000 kwa mwaka na mwaka wa masomo ulivyoanza walionyesha huo mkataba.
Kwanini wafokee wanafunzi na hela hizo??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha tu
Wale wa mzumbe wakaona wawape laki[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna best angu m1 yupo SUA wallah kapewa laki 1 na 70, yaan hadi nimebaki kupause tyuuh
 
Mkataba Ni kupewa 2,080,000 kwa mwaka na mwaka wa masomo ulivyoanza walionyesha huo mkataba.
Kwanini wafokee wanafunzi na hela hizo??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaqn ni commedy tyuuuh wallah
 
Jamani kwa kilichotokea Leo kutoka kwa Loan board siyo kitu cha kiungwana kwa watoto wa masikini Kama Mimi. Em fikiria nimepewa 306000 hapo crdb hawajakata chao.

Madeni ni Kama ifuatavyo
Ada -250000
Kodi ya nyumba - 120000
Boom advance - 124000 hivi kweli hapa nitamaliza chuo Mimi.

Huu naona ni wakati mwafaka wa kuacha chuo japo bado wiki 5 tu nimalize
Acha tu mkuu njoo kitaani *****
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaaqn ni commedy tyuuuh wallah
Nacheka kama mazuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah heslb wamewafanya vibaya madogo wenye boom
 
basi hapo vibopa na pedesheez wanaona raha fursa kwao kudinya watoto wa chuo hadi waombe poooh, maskini Jah atusaidie kwa kweli hali ni mbaya. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna best angu m1 yupo SUA wallah kapewa laki 1 na 70, yaan hadi nimebaki kupause tyuuh
Heee[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Sua wamepitwa Hadi na Mzumbe ya Mbeya!??!?
Bora Mzumbe wana laki 1 na 87[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom