Hahahaha u are very naive jamaa yangu nimechekaaaa

Sasa muone huyu la saba b. Na hapo ana watoto watatu kila mmoja na mamake na na hela bado hana na kila muda anajihami kwnagu juu ya elimu na pesa. Ukatoke jasho udangwe halaf wakishapataga pesa hawa wanabadilika balaa. Ni mwendo wa kuchapwa matukio tuView attachment 2040119View attachment 2040120View attachment 2040121

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Halafu Leo nkasikia wimbo wa bia tamu, Kuna mstari flani kwamba "usikibanie kitaoza"....... kama vipi mpe kwani nini Bibie. Watu flani wanasema sio sabuni kwamba itayeyuka.
 
FB_IMG_16392317283943131.jpg
 
Back
Top Bottom