Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Si kupotezea tu, nawe unatafuta mchepuko mzuri tu unakuwa unajipigia. Mkirudi nyumbani muwe mnapeana migongo vizuri.
Unapotezea na wewe unalala. Ni vizuri zaidi kufanya mkiwa wote mnajisikia kufanya hivyo.
 
Ukiona mpenzi/mke wako anakuambia majibu ya KUNYA kama hayo ujue alishaanza kut0mbw@ nje ya ndoa/mahusiano. Suluhisho ni kuanza kutafuta mchepuko mpya uwe unajipigia miti taratibu ili ukirudi nyumbani mpeane migongo vizuri. Dawa ya mshenzy ni ushenzy tu mpaka kieleweke.
Ubaya ni baada ya baharia kuwa fisi maji na kulamba ngozi za nje mamlai amekuwa kama afisa upelelezi,,,simu kila saa kutaka kujua nipo wapi 😂😂😂!!!

Kuweka mambo moto zaidi nimeweka beki 3 mkali zaidi yake. Ni kabinti kalikoendekeza mapenzi chuo kikuu kakadisco ila ni karembo ka kizigua. Kapo kanatamba mjengoni kananiita kaka.

Basi mama analala sebleni ili kulinda mipaka ya baharia asije kufanya maangamizi kwa kijakazi🤣🤣🤣...anajifanya eti seblen kuna hewa nzuri kuliko room. Baharia kumbe hata sina time na kijakazi nachakaza ngozi za nje tu.
 
Blaza kwani wewe Unaishi dunia ya ngapi?Yaani umenyimwa utamu ni vitu vya kulalamika kweli?hivi Unadhani ni nini kazi ya michepuko?acha kujipa stress zisizo na maana..kuna wadada wapo tayari kwa show 24 7 wewe unabaki kupigizana kelele na mwanamke mmoja..duh
Ahahahaha HUYU MIMI HUYU ......BILA KUPITIA COMMENTS ZA WATU NILIKUWA NATAKA KUANDIKA HIVI.....Akinyima ataona hata Mwaka nimekaa simuulizi Gem linaendelea Kama kawa uwanja wa Ugenini
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hili limenichekesha sana leo.
Kumbe kuna wanaume wenzangu mnanyimwa hizo kitu kiukweli ukweli? Mi nilijua ni story za utani.

Daah sasa mimi wife hajawahi kuninyima labda kama yuko P
Sijui cha kufanya endapo siku moja atakuja kuninyima[emoji23] [emoji23]
Nahisi siku hiyo nitakua mnyongeee maana lile jambo halitaki nguvu wala kulazimishana
Kila siku inachosha..... Hizo hamu za Kila siku zinatoka wapii???🤣🤣🤣
 
Mkuu
kuna siku nilikua nimekaa nje ya mafrem ambapo next frame ilikua saloon ya kike nilikua nikisikia wakizungumza wale wadada waliomo mule saloon sikujua walianzia wapi lakini ni kwamba "Mwanaume/Mmeo Usimpe Papuchi kila siku/kila anapotaka sababu ATAKUCHOKA "
mimi mtazamo wangu walikua wakidanganyana/walichokua wakiungana mkono sio ukweli... Ukitaka kuruhusu ndo yako iharibike basi usimpe uchi mumeo.. Maana atawaza kutoka nje.
Ila kama mkeo anafanya biashara/shughuli za kumchosha mpe muda.. ila kama ni mama wa nyumbani PELELEZA lazima kuna kuna mpemba/ lijamaa ambalo halina kazi linashinda nyumbani wakati wa mchana Anamchosha mkeo
 
Kila siku inachosha..... Hizo hamu za Kila siku zinatoka wapii???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama huwezi kumt0mbesha mumeo walau mara moja kila siku, jiandae kusaidiwa na mafundi wengine wanaojua umuhimu wa mume na usimlaumu yeyote.
 
Kama huwezi kumtombesha mumeo walau mara moja kila siku, jiandae kusaidiwa na mafundi wengine wanaojua umuhimu wa mume na usimlaumu yeyote.
Sio habari mpya kwa sababu Kuna ambao wanapata 3 times a day na Tigo juu.... Na bado wanazungusha hivyo vichwa vilivyoinama Kama kawaida.....!!!
 
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?
Ukifikisha miaka mitatu ndani ya ndoa, utapata solution ya hiyo kitu. Kuwa mvumilivu.
 
Papuchi ndio kitu pekee ambacho mwanamke ana mamlaka nacho,so akigoma tumia diplomasia mpaka aachie sina haja ya kukufundisha cha kusema kama ulifanikiwa kumfanya awe wako hata hiyo nyama hatashindwa kukupa through diplomacy...
Huwa utakiwa kumwambia kichwa tu, namaliza haraka, akikubali ratiba inarudi kuwa normal. [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sio kunyimwa bhana...
We mtu humuandai mkeo, ukishakuwa na ashki tu unamrukia halafu Unataka ushirikiano.
Tulia, anza maongezi na mkeo, mwambie unavyompenda, mbusu mchezee vyema kila kona ili nae aamshe hisia. Ukifika hapo anaanzaje sasa Kukataa jamani..... Jifunzeni kuwalegeza ndipo muwakunje bhana!!! Acha kutumia nguvu kwenye zile mambo......
Ndio maana wewe nimekuchagua uwe mchepuko wangu tukifika kuzimu. [emoji1] [emoji1]
 
Ndio maana wewe nimekuchagua uwe mchepuko wangu tukifika kuzimu. [emoji1] [emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kuzimu Mkuu, mie naenda mbinguni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom