Pole kiongozi, ndio tupeane uzoefu jinsi ya kutatua huu mkosiHili kwangu ndo tatizo naomba mechi nanyimwa nikimlazimisha kinguvu ananing'ata mpaka naumia mwishowe namuacha tu,
Ila labda kusema ananinyima kwasababu ni goi goi sio kweli manake ikitokea siku amenipa nafanya kama nimeajiriwa napiga mzigo saa 1 mpaka masaa mawili, binafsi nanyimwa unyumba sana.
Dah, sasa nikiwa sina muda nae halafu nna uchupa nipige mgalala(nyeto) ama?La kufanya na wewe jifanye huna muda naye. Hakuna kitu inawaumaga sana kama kuwafanyia hivi. Ukimuendekeza ndo itakuwa sehemu ya maisha yenu kimahusiano.
Wala hata hamnaga ugomvi namjali sana licha ya kumpenda inavyostahili, hali ya kuleta shida nikitaka gemu inanikata handas sana.Jiulize mkuu kwa nn asiwe na ham na ww?? Kaa ongea nae vzur jitahd sana musikerane mana maudhi ni sumu ya mapenzi
Sasa kaka we una hamu halafu mwenzio hana kila unapotaka kuruka nae anakupa excuse utakuwa mvumilivu mpaka atake yeye miaka yote???Ninaamini kwamba mapenzi yanakuwa matamu na kila mmoja anaridhika kama yuko mwanamke yuko tayari kwa tendo.
Angalia utaibomoa ndoa kwa mikono yako mwenyeweMda mwingne tunachoka jmn khaaaaa
Mtengee[emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mda mwingne tunachoka jmn khaaaaa
Sina maana hiyo. Usionyeshe kumjali sana. Siku nyingine na wewe unamchunia pamoja na nyege zako..hii faida yake ni kumrudisha kwenye mstari. Kwani yeye anapokukatalia hamu zake anazimalizaje? Hapo ndo ufikirie sasa.Dah, sasa nikiwa sina muda nae halafu nna uchupa nipige mgalala(nyeto) ama?
Angalia utaibomoa ndoa kwa mikono yako mwenyewe
Mtengee[emoji39] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Dah kuna watu roho ngumu. dadekiKachukue mwanamke umlete chumbani mgegede mbele yake. Akashtaki. Kubaka utaenda jela mkuu.
Asante MwayaMke mzuri weye, mume akijisikia tu upo maeneo ya jirani kujidai kwa raha zenu. Hongera zako.