Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Ukifikisha miaka mitatu ndani ya ndoa, utapata solution ya hiyo kitu. Kuwa mvumilivu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 japo sijafikisha miaka mitatu ila solution ishapatika na mkuu
 
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?
Hapo kwenye baadae ndo mimi kabisa,namwambia baadae najua atapitiwa usingizi.Sababu ni uchovu.Imagine kwa mfano mmetoka safari usiku,mnafika home mnaoga mnalala,mara mwenzako anaanza kukuomba.Yaani hapo unawaza usingizi tu.
 
Hapa ndio shida ilipo mkuu, unaweza mfanyia yote mwanamke wako still akakuona fala wa mwisho.Sijui wapoje hawa!

Mwanzo alikuwa anakosa sana amani. Hakupenda nichat na demu yeyote hata kirafiki tu, ni wivu tu na maugomvii akipekua simu yangu kila saa. Wakati mwengine awatukane watu argh...Akakutaga nina kamchepuko baada ya kero kuzidi hapo ndio nyumba haikuwa na amani kabisa akanipa ultimatum.Ilikuwa akiniboa tu nina pa kutulizia kichwa.

Nilipoacha na kuwa good man ili tuwe na amani ndio hapo noma lilipozidi. Ananisomesha namba tu, kuzinguana ndio kumezidi maradufu now yeye ndio kinara wa kuchat na masela anonymously, papuchi ndio kwa tochi madai excuse kibao dushe langu kubwa namuumiza, oh eti napenda sana kuweka, yani mpaka tubembelezaneee wee hadi nakereka.

Mkuu sipendi kurudia maisha ya mwanzo ya kuwa na vidumu ila naona uvumilivu utanishinda soon. Nilijua kumpa amani ya moyo kungesaidia ila majibu yamekuwa tofauti.Wanawake hawaeleweki
vipi ikawaje mwisho wake??
 
shida huwa inaanzia kwenu wanaume
unakuta umetoka asubui home hata hujui mwenzio kaamkaje
unashinda huko kazini hata kumkumbuka mwa msg hakuna afu unarudi home unataka sex kweli?
msichojua wanaume ni kwamba kwa wanawake sex huwa inaanzia kichwani lakini nyie ukishikwa tu hapohapo tayari
kuwa loving kwa mkeo uone utavyopewa bila hata kuomba
wanaume wengine hata hawajui kuwafanya wake zao wajifeel sexy,unategemea hapo utapata tu sex kirahisi?maybe kama mnadate tu na sio ndoa
Wanawake wengi wanapenda visirani sana.
 
Akikupa mgongo ,wewe mkumbatie.Ikiwa inamgusa gusa lazima atakuomba mwenyewe.
Maishaaaa, utaskia hebu niache huko staki usumbufu wako sahizi nimechoka zangu mimi nalala.
 
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?
kwa vyovyote vile> kama kakunyima kwasababu hayupo vizuri au kwa kiburi tu. tiba nikuwa na mke zaidi ya 1.
 
Wala hata hamnaga ugomvi namjali sana licha ya kumpenda inavyostahili, hali ya kuleta shida nikitaka gemu inanikata handas sana.
Dah pole sana mkuu, yaani nikiwaza kuoa hapo ndo najiona nitagonga 40 hivi hivi. Mi nipo in a serious relationship na binti mmoja mipango yangu ilikuwa niache kulukaluka ili nije nimuoe huyu binti lakini kila siku zinavyokwenda naona haitawezekana, yeye hata mwezi unaweza kulala naye tu na asihisi chochote, siku zote wewe ndo unamuanza na sio sex ni romance inayoishia kumpiga vidole anaogope dushe. In fact mi ni man wake wa 2, man wake wa 1 alimbikiri kama kumbaka hivi alilia sana na tokea siku ile dudu haijawahi kuingia tena kwenye papuchi yake, kipindi tunaanza hata kumuwekea kidole ilikuwa issue, kukaa uchi mbele yangu ilikuwa mtihani, tukaenda ikafika kipindi vidole akavizoea shida ikawa dushe anahofu sana na Mimi bila hiyari yake kwa kweli naogopa kuwa mbakaji. Tatizo sana naona karelax na vidole na hataki kuwa jasiri lakini kingine ni ile hali yake ya yeye kukosa hisia yaani yule hata miezi 6 she OK, as long as hujamwonyesha hisia za kumuhitaji ye yuko poa. Nishachunguza kwamba labda analiwa binti haliwi jamani. Sikuwa na mlango wa kuwa mlango wa kando lakini ilinibidi tu na alipojua nilimwambia ukweli kuwa sins jinsi, habari ya ndoa huwa namwambia ukweli Saiv sijamuoa ndo yuko hivyo nikimuoa je? Moja kati ya jambo ambalo sitamani nikiingia katika ndoa ni kucheat namwomba Mungu sana anipe mwanamke anayeweza na anayependa shughuli ya kitandani nitampenda, kumtunza na kumlinda kwa gharama yeyote wengine ujanani hatujacheza mechi nyingi, gauge yangu ndo kwanza ipo kama 10000km sasa niingie kwenye ndoa napo nianze kupimiwa kibaba si kuna dhambi za uzinzi hakika Mungu hatazihesabia kabisa. Huyu binti vigezo vingine yupo safi tu na ananipenda sana tu shida ni Hilo tu
 
Kama tulivyokubaliana vunja kitasa cha chumba cha hausigeli.
Ubaya ni baada ya baharia kuwa fisi maji na kulamba ngozi za nje mamlai amekuwa kama afisa upelelezi,,,simu kila saa kutaka kujua nipo wapi [emoji23][emoji23][emoji23]!!!

Kuweka mambo moto zaidi nimeweka beki 3 mkali zaidi yake. Ni kabinti kalikoendekeza mapenzi chuo kikuu kakadisco ila ni karembo ka kizigua. Kapo kanatamba mjengoni kananiita kaka.

Basi mama analala sebleni ili kulinda mipaka ya baharia asije kufanya maangamizi kwa kijakazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...anajifanya eti seblen kuna hewa nzuri kuliko room. Baharia kumbe hata sina time na kijakazi nachakaza ngozi za nje tu.
 
Kaka nimefanya kazi kwa asilimia 100%?? Maake 2 years in relationship lakini stress zimekuwa nyingi sana Lisa watu hatujawahi kut.iana
Eeh sahivi bibie ana hofu sana kuwa ntakuwa napiga mama nje maana hata akipekua simu anakutana na namba za vidosho, so hali imetengemaa kabisa. Nyodo zimeisha 🤣🤣🤣 ni mwendo wa Push to start tu sahivi.

Anadai tumfukuze kijakazi ili tubaki wenyewe ila naona itakuwa ngumu wacha aendelee kuwepo amchangamshe akili zaidi maana alibweteka sana.
 
kwa vyovyote vile> kama kakunyima kwasababu hayupo vizuri au kwa kiburi tu. tiba nikuwa na mke zaidi ya 1.
Haswa, dawa ni kufanya wanawake wengi wakuzingire. Kana wivu hako 🤣🤣🤣
 
Hapo kwenye baadae ndo mimi kabisa,namwambia baadae najua atapitiwa usingizi.Sababu ni uchovu.Imagine kwa mfano mmetoka safari usiku,mnafika home mnaoga mnalala,mara mwenzako anaanza kukuomba.Yaani hapo unawaza usingizi tu.
Tabia mbovu hio, si umpe achomeke tu akimwaga anakuacha unalala. Tena huwaga ni chap tu.
 
Dah pole sana mkuu, yaani nikiwaza kuoa hapo ndo najiona nitagonga 40 hivi hivi. Mi nipo in a serious relationship na binti mmoja mipango yangu ilikuwa niache kulukaluka ili nije nimuoe huyu binti lakini kila siku zinavyokwenda naona haitawezekana, yeye hata mwezi unaweza kulala naye tu na asihisi chochote, siku zote wewe ndo unamuanza na sio sex ni romance inayoishia kumpiga vidole anaogope dushe. In fact mi ni man wake wa 2, man wake wa 1 alimbikiri kama kumbaka hivi alilia sana na tokea siku ile dudu haijawahi kuingia tena kwenye papuchi yake, kipindi tunaanza hata kumuwekea kidole ilikuwa issue, kukaa uchi mbele yangu ilikuwa mtihani, tukaenda ikafika kipindi vidole akavizoea shida ikawa dushe anahofu sana na Mimi bila hiyari yake kwa kweli naogopa kuwa mbakaji. Tatizo sana naona karelax na vidole na hataki kuwa jasiri lakini kingine ni ile hali yake ya yeye kukosa hisia yaani yule hata miezi 6 she OK, as long as hujamwonyesha hisia za kumuhitaji ye yuko poa. Nishachunguza kwamba labda analiwa binti haliwi jamani. Sikuwa na mlango wa kuwa mlango wa kando lakini ilinibidi tu na alipojua nilimwambia ukweli kuwa sins jinsi, habari ya ndoa huwa namwambia ukweli Saiv sijamuoa ndo yuko hivyo nikimuoa je? Moja kati ya jambo ambalo sitamani nikiingia katika ndoa ni kucheat namwomba Mungu sana anipe mwanamke anayeweza na anayependa shughuli ya kitandani nitampenda, kumtunza na kumlinda kwa gharama yeyote wengine ujanani hatujacheza mechi nyingi, gauge yangu ndo kwanza ipo kama 10000km sasa niingie kwenye ndoa napo nianze kupimiwa kibaba si kuna dhambi za uzinzi hakika Mungu hatazihesabia kabisa. Huyu binti vigezo vingine yupo safi tu na ananipenda sana tu shida ni Hilo tu
Huyo manz atakutesa, una hiari ya kuendelea kuteseka au kupiga chini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom