Wale mliooa je mnashughulikiaje hili tatizo

Miaka mitatu bado upo katika mwezi wa asali ndugu bado hakijachanganya. Ukifikisha miaka 15 ndipo unaweza kujibu hoja ya mtoa hoja
Watanzania bhana
Sasa mleta mada kasema ana muda gani ndani ya ndoa? Au ni utafiti gani umetumia kusema nikifika miaka 15 ndio ntakua nimefikia hayo matatizo?

Niko ndani ya ndoa kwa miaka mitatu, kwa mwanamke mwenye tabia ya hovyo hata miezi mitano inatosha sana kumjua tabia yake halisi kama mlishafunga ndoa.
 
Papuchi ndio kitu pekee ambacho mwanamke ana mamlaka nacho,so akigoma tumia diplomasia mpaka aachie sina haja ya kukufundisha cha kusema kama ulifanikiwa kumfanya awe wako hata hiyo nyama hatashindwa kukupa through diplomacy...
 
Watanzania bhana
Sasa mleta mada kasema ana muda gani ndani ya ndoa? Au ni utafiti gani umetumia kusema nikifika miaka 15 ndio ntakua nimefikia hayo matatizo?

Niko ndani ya ndoa kwa miaka mitatu, kwa mwanamke mwenye tabia ya hovyo hata miezi mitano inatosha sana kumjua tabia yake halisi kama mlishafunga ndoa.
Bila hata ya kufikisha watoto watatu, huyo atakuwa si mwanamke wa kiafrika. Unajua kuwa wanawake ni wasiri na wavumilivu? Ila akifikia muda akajua miguu yote imakanyaga chini ndipo unajua tabia zake. Hata mpaka leo anza kufanya tathimini kabla ya ndoa na sasa, je bado anakuita bebi, etc
 
Kwani chakula ..kama hataki basi na mi nikinyimwa sijui hajisikii nachukua simu yangu nacheza gemu simple simlazimishi mtu kufanya majukumu yake .
 
Bila hata ya kufikisha watoto watatu, huyo atakuwa si mwanamke wa kiafrika. Unajua kuwa wanawake ni wasiri na wavumilivu? Ila akifikia muda akajua miguu yote imakanyaga chini ndipo unajua tabia zake. Hata mpaka leo anza kufanya tathimini kabla ya ndoa na sasa, je bado anakuita bebi, etc
Acha kutupa lawama kwa wanawake, watu kuacha kuitana majina hayo sio kwa wanawake tu hata wewe humuiti mkeo baby kama zamani, mwanzoni ulikua unaigiza ila baada hata ya mwaka mmoja huwezi kuita kila siku.
Yaani kwa ufupi nina familia siishi mimi na mke wangu peke yetu, hiyo miaka 15 ni mingi kama ndio kipimo chako.
 
Sio kunyimwa bhana...
We mtu humuandai mkeo, ukishakuwa na ashki tu unamrukia halafu Unataka ushirikiano.
Tulia, anza maongezi na mkeo, mwambie unavyompenda, mbusu mchezee vyema kila kona ili nae aamshe hisia. Ukifika hapo anaanzaje sasa Kukataa jamani..... Jifunzeni kuwalegeza ndipo muwakunje bhana!!! Acha kutumia nguvu kwenye zile mambo......
 
mimi mke wangu ananipa tunda lake X4 kwa week..." pole yako mkuu but ni vyema mkakaa chini mkayaongea kuliko kuja huku kulalamika mkuu
Hahahahah sio kulalamika tu. Nina plan za kutafuta reserve tank
 
Inakera sana,nahic wanaume kama ilivyo kwa ndege ratio siyo one to one inaweza kuwa labda one to four yaani mwanaune mmoja wanawake wanne ni mawazo yangu tu coz mwenyewe mhanga sana,nshaongea hadi basi
Hahaha
Mnatia hurumaa mjuee
 
Habari wana,
Kuna kale katabia ka wanawake kuleta usumbufu wa kutoa papuchi kwa ME wao bila sababu ya msingi, sijui ni uvivu ama nini.

Unakutana na jibu mimi sijiskii kufanya...mara tutafanya baadae, halafu unapewa mgongo inakuwa kama unalazimisha kila wakati, huwa mnasuluhishaje hili kwa njia za amani?

Na wale wanawake wenye tabia ya hivyo kubania kidude kwa kuona kupigwa pipe kama usumbufu ilihali ni haki ya ME, huwa mnafikiriaga nini vichwani mwenu?
Nyumba ndogo.
 
Watanzania bhana
Sasa mleta mada kasema ana muda gani ndani ya ndoa? Au ni utafiti gani umetumia kusema nikifika miaka 15 ndio ntakua nimefikia hayo matatizo?

Niko ndani ya ndoa kwa miaka mitatu, kwa mwanamke mwenye tabia ya hovyo hata miezi mitano inatosha sana kumjua tabia yake halisi kama mlishafunga ndoa.
Yani kuna watu hata wake zao wawafanyie jema lipi as long as ndoa haijafikisha miaka 10, basi hatoappreciate. Yani watu wanaishi na negativity kibao, Oooh subiria mfikishe miaka fulani. Kuna miaka 10 bila kupitisha siku na miezi? Mwaya furahia ndoa yako, hao wanaokaa ndoani kuvizia wake zao wamess up after miaka kadhaa, shauri zaoooo
 
Sio kunyimwa bhana...
We mtu humuandai mkeo, ukishakuwa na ashki tu unamrukia halafu Unataka ushirikiano.
Tulia, anza maongezi na mkeo, mwambie unavyompenda, mbusu mchezee vyema kila kona ili nae aamshe hisia. Ukifika hapo anaanzaje sasa Kukataa jamani..... Jifunzeni kuwalegeza ndipo muwakunje bhana!!! Acha kutumia nguvu kwenye zile mambo......
Asa kama mtu ukianza mshika shika tu anakutoa mikono anaona kama kinyaa. Huo moyo wa kubembeleza unatoka wapi?
 
Yani kuna watu hata wake zao wawafanyie jema lipi as long as ndoa haijafikisha miaka 10, basi hatoappreciate. Yani watu wanaishi na negativity kibao, Oooh subiria mfikishe miaka fulani. Kuna miaka 10 bila kupitisha siku na miezi? Mwaya furahia ndoa yako, hao wanaokaa ndoani kuvizia wake zao wamess up after miaka kadhaa, shauri zaoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mke wangu nampenda balaa nayeye ananikubali kwelikweli alafu mtu anataka niamini kwamba mbeleni ntakuja kunyimwa? Aaah wapi siwezi kujenga fikra zangu in a negative way.
Najua kukosana kupo tu cha msingi kusamehana, mtu kama mkeo anakunyima unyuma kaa nae polepole muulize tatizo liko wapi maana unaweza kuta mwanaume unafanya mambo ya kumuudhi mkeo na anakununia na kukunyima unyumba ila wewe hujui pengine mtu unarudi night kali mkeo anakununia lazima, mara unapenda kuwachekea marafiki zake wa kike lazima ahisi vibaya[emoji23]

Njia ya kupata papuchi na ukaifurahia ni kuanzisha mazungumzo tu maana katika mambo unayotakiwa kua mpole moja wapo ni kuomba papuchi.

Hata kama wewe hujui kumbembeleza asiee jifunzeee ile kitu bila upole na ushirikiano wa mkeo hauta enjoy ni sawa na kubaka[emoji23] [emoji23]
 
Asa kama mtu ukianza mshika shika tu anakutoa mikono anaona kama kinyaa. Huo moyo wa kubembeleza unatoka wapi?
Nimesema anza mazungumzo ya mahaba na ya taratibu kabisaa, jua mwanamke anakuwa na shughuli nyingii za siku nzima!!!
 
Acha kutupa lawama kwa wanawake, watu kuacha kuitana majina hayo sio kwa wanawake tu hata wewe humuiti mkeo baby kama zamani, mwanzoni ulikua unaigiza ila baada hata ya mwaka mmoja huwezi kuita kila siku.
Yaani kwa ufupi nina familia siishi mimi na mke wangu peke yetu, hiyo miaka 15 ni mingi kama ndio kipimo chako.
Hapo tunakubaliana ndugu yangu. Kuna jamaa waliishi na mke wake kwa miaka 10 bila kufunga ndoa, alipofunga ndoa mwaka mmoja ndoa chali. Just imagine!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom