Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,080
- 93,006
Wazazi Huwa hawaachani.
🤣🤣🤣🤣Unakuwa serious na single mother we ni bonge la Fala ,
[emoji2][emoji2][emoji2]Acha uzwazwa be a real Man. Tumia mbinu ya kimafia nenda dukani na kirikuu kakombe mzigo wote pamoja na makorokoro. Umfungulie kiduka wakati aliemzalisha hakufanya hivyo. Upunguani huo!! Na hapo lijamaa linabonda sana
[emoji2][emoji2][emoji2]haya mambo ni magumu kweliHandcap -1
Meza panado kwanza unywe na maji mengiKuna singo mama mmoja nilikua nae serious kwenye mahusiano baba wa mtoto anasema alimtelekeza nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana kiroho Safi Sasa LEO NADHANI ALISAHAU KUNI "HIDE" WhatsApp status kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede ,ITOSHE KUSEMA NIMEISHIWA NGUVU ,,naombeni mnipe nini Cha kufanya baada ya kupata NGUVU hapo baadae
Na mradi tena umefungua?? Kazi ipoVipi kuhusu kamradi nilikomfungulia ?
HahahahaAitoe wapi wakati kakunywesha chai ya saa tano 😂
Mimi hilo nimelikemeA kabla sijaoa[emoji2][emoji2][emoji2]haya mambo ni magumu kweli
Ni Kama mill 6-7 duka Fulani la vipodozi
Asante kwa ushauri
Sepa huna chakoKuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
Asante kwa ushauri1. Achana na huyo mwanamke Kwa sababu hakuheshimu
2. Kama ukiendelea nae tambua kuwa haiwezi tokea hata siku moja wakaachana na Baba wa Mtoto wake.
Wanawake ndio wapo hivo hawezi kumsahau wala kumkatalia mwanaume aliemzalisha, ( Labda mwanamke wa shoka, ambao wapo wachache mno ) tena hadi kumu wish HBD hapo wanalalana vizuri tu, tena anaweza mzalisha tena na wewe utalea na utaendelea kudharaulika.
3. Hilo duka sio inshu, muachie tu. Hela zinatafutwa.
4. Achana na Singo mama chief. Wanawake ambao hawajazaa tena wazuri na wanajiheshimu na wanahitaji wenza wapo wengi Sana.