Wakuu yamenikuta

Wakuu yamenikuta

Ukitaka kuoa single mother hakikisha mumewe kafariki na inabidi akakuonyeshe kaburi alilozikwa, nilikua nae mmoja na nilikua napiga tu kisela ila sikuwa nikimzingatia for future.
 
Mkuu, kwani wewe leo ni besidei yako?Subiri ikifika Besidei yako ndo utajua.Kwa sasa we endelea kumpenda.

Kwanza kabisa fahamu kwamba Kama Mwanamke akikuambia tu kwamba ametelekezwa na Mwanaume basi Ujue kwamba huyo mwanamke na mzigo.

Kwenye mahusiano kuna ama kuwa pamoja ama kuachana kwamba hakuna mawasiliano wala mahusiano hakunaga kitu kam kutelekezwa.

Ushauri wangu.Fanya na wewe umtelekeze tu kama mwenzako huenda na wewe ukapostiwa
 
Mkuu,kwani wewe leo ni besidei yako?Subiri ikifika Besidei yako ndo utajua.Kwa sasa we endelea kumpenda.Kwanza kabisa fahamu kwamba Kama Mwanamke akikuambia tu kwamba ametelekezwa na Mwanaume basi Ujue kwamba huyo mwanamke na mzigo.Kwenye mahusiano kuna ama kuwa pamoja ama kuachana kwamba hakuna mawasiliano wala mahusiano hakunaga kitu kam kutelekezwa.


Ushauri wangu.Fanya na wewe umtelekeze tu kama mwenzako huenda na wewe ukapostiwa
Sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom