Wakuu yamenikuta

Wakuu yamenikuta

Hapo sasa kunamjadala kweli wakati ushajua mpenzi wako ni mpenzi wa mtu wanawake wengi sana tena wakali kinyama piga chini huyo vuta mwingine akizingua nae huyo mwingine nakupa tena ushauri usije andika humu tena piga chini nae chagua kingine kawe pasono hivi
 
Kuna singo mama mmoja nilikua nae serious kwenye mahusiano baba wa mtoto anasema alimtelekeza nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana kiroho Safi Sasa LEO NADHANI ALISAHAU KUNI "HIDE" WhatsApp status kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede ,ITOSHE KUSEMA NIMEISHIWA NGUVU ,,naombeni mnipe nini Cha kufanya baada ya kupata NGUVU hapo baadae

Hopeless man.. mtu kazalishwa, alishakuwa mke wa mtu, wewe kipi kinakuuma, single mother ambaye mume wake bado yuko hai ww unamuweka rohoni au moyoni? Ujue tu hata kama wameachana na wana mtoto au watoto, wewe huna namna ya kuwatenganisha.
 
Kuna singo mama mmoja nilikua nae serious kwenye mahusiano baba wa mtoto anasema alimtelekeza nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana kiroho Safi Sasa LEO NADHANI ALISAHAU KUNI "HIDE" WhatsApp status kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede ,ITOSHE KUSEMA NIMEISHIWA NGUVU ,,naombeni mnipe nini Cha kufanya baada ya kupata NGUVU hapo baadae
Sana sana humu watu wengi watakushauri ukamfanyizie. Lakini ushauri wangu kwako ni kuachana naye aende kwa amani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom