Kiatu cha udongo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 443
- 1,158
- Thread starter
- #61
Asante kwa ushauriAcha uzwazwa be a real Man. Tumia mbinu ya kimafia nenda dukani na kirikuu kakombe mzigo wote pamoja na makorokoro. Umfungulie kiduka wakati aliemzalisha hakufanya hivyo. Upunguani huo!! Na hapo lijamaa linabonda sana