moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,006
Umejuaje mkuu watu watamshauri hivyo acha kujifanya wewe ni mwema sanaSana sana humu watu wengi watakushauri ukamfanyizie. Lakini ushauri wangu kwako ni kuachana naye aende kwa amani
Umejuaje mkuu watu watamshauri hivyo acha kujifanya wewe ni mwema sanaSana sana humu watu wengi watakushauri ukamfanyizie. Lakini ushauri wangu kwako ni kuachana naye aende kwa amani
Wewe wasemaUmejuaje mkuu watu watamshauri hivyo acha kujifanya wewe ni mwema sana
Ndio ni mm,usijifanye sheik yahaya weweWewe wasema
[emoji23][emoji23][emoji23]Huruma kwa janaume lisilojielewa. Noooo
Wanawake hampendani hata kidogo.Huruma kwa janaume lisilojielewa. Noooo
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani punguzeni ukali wa maneno daaahTafuta watoto wako ulee,utazeeka ukiwa nungayembe hao watamsaidia baba yao,wewe utalala mbele ya maduka ya watu kwenye maboksi na utafia nje kwa ufala wako.
asipoelewa na hap ndiyo basi tenaPenda kwa akili, usipende kwa moyo hasa unapompenda mke wa wanaume mwenzio.
Usirudie tena kuingilia mapenzi ya wengine vinginevyo utakufa kabla ya wakati.
unataka tukwambie nini?Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
Wewe ni kengeBado Nina hasira nisije fanya kitu kibaya ndio maana nimekimbilia humu kwanza naamini nitapata washauri wazuri kabla ya kuchukua hatua
Kijana unaonekana una engage mno na wasichana. Una mazoea mazoea mengi mno na wanawake. Itakugharimu!Usiwe serious na mwanamke yoyote unayemla.
Hata Mkeo, Usiwe naye serious , sio singo Maza, sio asozaa, wee Usiwe nao serious.
Kuna singo mama namlaga Sasa Kuna Hela alinikopa, Leo nmemwambia anirudishie, basi akaenda akanirushia Kwa wakala.
Alafu ananiambiaje,, Eehh Mkaka wa wakala nimemkuta ni handsome sanaaa kuliko wewe yaan tayari ushankosa .
Nikajua ananitania ila namm nikamjibu '' mwambieee akule lazima akubakishie utamuu maana K Haina makombo "
Kaja kunijibu.... Daaah Yan wee hata Moyo haukuumi
Why kisukari?Nyote ni wapuuzi watupu ,hujaoa alafu kinakuuma Nini ?? Ndege wafananao huruka pamoja
Tafuta mke uoe ,Kuna mabinti kibao wapo decente sana na wanafaa kuweka ndani..
Achana na uzinifu utakufa kwa presha na kisukari
Mbona kama unakuja hivi... hebu eleza vizuri. Umeshawahi kumsifia mwanamke kuhusu mbususu yake au uzuri? Umeshawahi kulia kwenye tendo la ndoa kisa utamu wa mbususu?Mwanamke hakupewa chochote Cha thamani juu ya mwanamume!
Kosa kubwa tulilofanya wanaume duniani Ni kumuaminisha mwanamke kuwa ana mbususu tamu!
Uzushi huo unafanya mwanamke aringe na kuleta jeuri mbele ya mwanamume!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Weka hapa hayo maneno aliyoyaandika.Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
Nikuletee Pepsi au maji makubwa.Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
Yameisha nowNikuletee Pepsi au maji makubwa.
Wanawake hampendani hata kidogo.
Sahii kabisa mkuu,Mwanamke hakupewa chochote Cha thamani juu ya mwanamume!
Kosa kubwa tulilofanya wanaume duniani Ni kumuaminisha mwanamke kuwa ana mbususu tamu!
Uzushi huo unafanya mwanamke aringe na kuleta jeuri mbele ya mwanamume!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
CHAIWeka hapa hayo maneno aliyoyaandika.