bandeko andeko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2021
- 1,228
- 2,475
Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
Wakati mnatongozana ulituhusisha?.Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
Atakufa huyu,hana kifua KabisaSasa Status tu imekumaliza nguvu, je ukiwafumania live? Si utakufa?
Be Gentle.
Ni mwendo wa dushe tu na kusepa sio? [emoji1787][emoji1787]Singo maza siyo wa kuoa wala kuhudumia ni kupiga libolo fc tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Ungemwambia nakupenda weew na uyo bwana ako
Mbona kama bado hujakoma ivi? sasa frame na hivyo vitu nusu unamuachia nani acha uzwazwa kijana somba kila kitu hadi nguo ulizo mnunulia acha masihala mkuuMrejesho: KUTOKANA NA USHAURI NILIOPATA RASMI JANA NIMEACHANA NAE ,DUKA NIMECHUKUA MZIGO NUSU NIMEACHA NUSU FREM ILIBAKI MIEZI MIWILI KODI ,, SITAKI TENAAA NA NIMEKOMA
He Mwisho utajuta zaidiKuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makosa Makubwa...huwezi kuwa serious na singo maza ....lazima uonyeshwe kwanza kaburi na mkanda wa mazishi ya baba wa mtoto ambao jina la kwenye msalaba lisome sawa na la kwenye cheti cha kuzaliwa mtoto tofauti na apo we kula kimasihara na mtoto mhudumie ukipenda sio kama majukumu.
Maana baba wa mtoto hawezi kumtongoza tena wakikutana ni kupima oil tu na miti..na usipoangalia nawewe unaachwa arudi kwa wakwanza akalee mtoto especially kama bado haujazaa nae...maana kwako ni kupunguza machozi tu ila anatamani familia yake iwe na baba wa mtoto POLE.
Una akili mno wewe. Hujawa mnafiki kwa kumpendelea mwanamke mwenzakoAchana naye mara moja ulishawahi ona wapi mechi inaanza mwingine anaongoza moja bila.
Hivi we ni dume au jike?[emoji23]Tatizo mnadharau maamuzi ya kikao!! Si mlishaambiwa hadi uone kaburi/tuta???
Umeacha vitu nusu , kwann?Mrejesho: KUTOKANA NA USHAURI NILIOPATA RASMI JANA NIMEACHANA NAE ,DUKA NIMECHUKUA MZIGO NUSU NIMEACHA NUSU FREM ILIBAKI MIEZI MIWILI KODI ,, SITAKI TENAAA NA NIMEKOMA