Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,669
- 167,716
Dume la mbeguHivi we ni dume au jike?[emoji23]
Dume la mbeguHivi we ni dume au jike?[emoji23]
[emoji23][emoji23] sm tymes ke sm tymes me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dume la mbegu
Labda Kama unapiga na kusepa tu usiweke malengo nae mwenzio yamenikutaDah mnanivunja nguvu mi ndio kwanza mapenzi yanazidi na huyu single maza wangu sijui nifanyeje mnapiga mawazo sana
Sometimes ladies and gentlemen[emoji23][emoji23] sm tymes ke sm tymes me[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
Jemeni mpaka nyie mnawageuka wenzenuTatizo mnadharau maamuzi ya kikao!! Si mlishaambiwa hadi uone kaburi/tuta???
[emoji23][emoji23][emoji23] kichwa chako kibovu sana weweSometimes ladies and gentlemen
Watoto watatu kila mtoto na mamayake au?Nina watoto 3 uzuri naishi nao lkn kuoa single mother siwez kabisaa
Kunywa paracetamol kwa kutumia uji wa moto wa muhogo.Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi.
Sasa leo nadhani alisahau kuni 'hide' WhatsApp status, kampost baba wa mtoto kumuwish heri ya siku yake ya kuzaliwa na maneno kede kede!
Itoshe kusema, nimeishiwa nguvu! Naombeni mniambie nini cha kufanya baada ya kupata nguvu hapo baadae!
DuhhUsiwe serious na mwanamke yoyote unayemla.
Hata Mkeo, Usiwe naye serious , sio singo Maza, sio asozaa, wee Usiwe nao serious.
Kuna singo mama namlaga Sasa Kuna Hela alinikopa, Leo nmemwambia anirudishie, basi akaenda akanirushia Kwa wakala.
Alafu ananiambiaje,, Eehh Mkaka wa wakala nimemkuta ni handsome sanaaa kuliko wewe yaan tayari ushankosa .
Nikajua ananitania ila namm nikamjibu '' mwambieee akule lazima akubakishie utamuu maana K Haina makombo "
Kaja kunijibu.... Daaah Yan wee hata Moyo haukuumi