Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

Half american kwa comments zako humu ninavyokusomaga wewe na mwenzako Tsh ni aina ya wanaume ambao huwa mnachezewa sana akili na wanawake.
Endelea kunisoma mkuu, maisha ya comments hayana uhalisia wangu kwa asilimia kubwa sana nna masikhara mengi sana ila uhalisia ni tofauti. Na ndio tabia za sisi Keyboard woria.
 
Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.

Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.

22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.

Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.

Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
😅😅😅😅, mkuu ni kale kamchepuko, kale ka siku ile mke awe ameshika simu yako wakati mnakula msosi, na ukamaliza msosi ndani ya sekunde tano 😳😳😳??
 
Back
Top Bottom