Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 4,991
- 14,786
Lengo ni Uchomoke kule kwenye mataahira ushenzini kataa ndoa. ,🤗🥴🥴🥴Mnavyonifurahia nimependa 😅
Lengo ni Uchomoke kule kwenye mataahira ushenzini kataa ndoa. ,🤗🥴🥴🥴Mnavyonifurahia nimependa 😅
Uzuri ni kwamba sijawai kuwa kataa ndoa na sitokaa niwe hukoLengo ni Uchomoke kule kwenye mataahira ushenzini kataa ndoa. ,🤗🥴🥴🥴
Hiyo dhambi waachie wengine usijaribuMi sijajaribu tu kwa mpalange ila mengineyo mengi tayari.
Haji Kama hajikama ipo ntahakikisha haitoi huyo ndio rais ajae
Naomba nisianguke katika dhambi hiyoHiyo dhambi waachie wengine usijaribu
Acha masikhara ujue hii ishu ya msingiHaji Kama haji
Hakuna mbinu zaidi ya zile pesa ulizokuwa unakula bata hovyo hovyo kuziwekeza kwa kijacho anaekuja.Mnipe mbinu mapema ili mambo yaende sawa.
Mkuu, inamaana ushauri woote unaotoaga huwa ni FEKI ?naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.
Kwa kuwa umeuliza ukiwa serious mkuu Hebu tufanya hapa ni kama sehemu ya kuchukua majibu/ushauri wa ziada ila anza na kutafuta majibu kwa kuuliza kwenye search engines mbalimbaliKwahiyo hakuna matumaini ya yeye kuingia hedhi sio kwamba imechelewa tu? Kama n mimba mbona hamna dalili nyingine yeyote.
Una ufala mwingi we JamaaAcha masikhara ujue hii ishu ya msingi
Unataka dalili ngapi ili iwe ni mimba?!Kwahiyo hakuna matumaini ya yeye kuingia hedhi sio kwamba imechelewa tu? Kama n mimba mbona hamna dalili nyingine yeyote.
Chungulia hapaKabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.
Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.
22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.
Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.
Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
😅, First question iko 💯,Before Sex huw nauliza maswali mawili.
Moja huwa najiuliza mimi.. lingine namuuliza mhusika.
1. Je huyu naekulana nae, ikitokea la kutokea je anafaa kuwa Mke wangu? Je anafaa kuwa Mama wa Watoto/Mtoto wangu?.
2. Baby upo safe?
(Binafsi condom kwa kwel siziwezi)
Nakuelewa boss inaonekana una elimu nzuri sana ya kijamii, ila kwa bahati mbaya sana kwenye suala la kuwatambua wanawake bado huko nyuma.Wanawake wapi hao tena boss, mimba haijifichi, mke akinasa utagundua tu. Kabla vipimo vya nyumbani havijaja iligundulika sembuse sasa hivi unajipima nyumbani?