Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

Ungeongeza siku mbili mbele kidogo ukakutana nae nauhakika ungemleta Boy .Na Ikitokea kaja ni Boy tumpe jina la Tundu Lisu..
Ila naona ni ka Binti Utamchagulia Jina baba yake ..😊😊🤣🤣
BTW Hiyo imenasa
 
Mwambie anunue kipimo aje nacho siku ya kumpa penzi moto analosubiri pimeni. Ikiwemo anzeni program za kurutubisha mtoto. Hakikisha unampiga mb.. vya kutosha. Hii ndio pindi mwanamke anahitaji ukaribu wa yule aliyemjaza kupa assurance ya kifuatacho. All the best mzee
Ngoja nihakikishe kama ni hivyo
 
Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.

Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.

22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.

Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuin
Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.

Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.

22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.

Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.

Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
Siku mnayokutana ungetwambia Wana jamii tuanze michango ya visepe
 
Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.

Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.

22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.

Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.

Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
Mlete nimwangalie kama mimba ipo au laah
 
Uwezekano? A huyo mtu ku a ni mimba ni mkubwa kwa sababu zifuatazo na chambua kutokana na tarehe 20 ambayo anaingia period
20 - 25 - period
25 - 30 - safe
31 - 07 - danger
08- 20 - safe
Na wewe na yeye mlikutana tarehe 1 na tarehe 02 ambayo ukiangalia katika mchanganua hapo ipo kwenye danger zote may be ikahappen yai likachelewa kufika katika fallopian tube likaja tareh 04 lakin kama likija tarehe 03 ambayo inakuaga always automatic litakuta mbegu zipo kwasabab mbegu za kiume zinakaa masaa 48 na za kike 72 ndo ziharibike ko kwa scenario hiyo mtu huyu uwezekano anamimba
Asanten nawasilisha
Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu, naona kabisa tayari.
 
Ungeongeza siku mbili mbele kidogo ukakutana nae nauhakika ungemleta Boy .Na Ikitokea kaja ni Boy tumpe jina la Tundu Lisu..
Ila naona ni ka Binti Utamchagulia Jina baba yake ..😊😊🤣🤣
BTW Hiyo imenasa
Tundu lisu tena😂

Jina lipo tena zuri litaanza na A
 
Back
Top Bottom