Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

Mwambie anunue kipimo aje nacho siku ya kumpa penzi moto analosubiri pimeni. Ikiwemo anzeni program za kurutubisha mtoto. Hakikisha unampiga mb.. vya kutosha. Hii ndio pindi mwanamke anahitaji ukaribu wa yule aliyemjaza kupa assurance ya kifuatacho. All the best mzee
 
Kweli mkuu ngoja tusubiri hadi keshokutwa akapime tujue.
sema unaonekana unawasiwasi mkuu kuitwa baba ni raha sana sema jipange tu mimi nilizaa na pisi kali yeyewe ikanikataa nisiioe sikuwa chaguo lake bhana ikaona ikae kwao kwanza mimi nikavuta pisi kali nyingine nikaeka ndani na yenyewe ikatoa kitu boy kwa hiyo nina maboy 2 nafanana nao kinoma naishi nao wote sasa jana nilikuwa natoka home naenda kibanda umiza kuangalia game ya alhyl na sundowns kuna madogo jirani wakawa wananifuata nyuma macharii tu age moja na vijana wangu basi vijana wangu wakawa wanafoka oyaa msifuate baba yetu nendeni kwa baba zenu huko nikaona vijana wanaenjoy kuwa dingi yao 100% nikafarijika Sana nikaomba niishi maisha marefu niwaandalie mazingira watoto wangu waje wanienzi vzr
 
Hongera sana mkuu Mungu awaongoze wakuwe salama.
 
Uwezekano? A huyo mtu ku a ni mimba ni mkubwa kwa sababu zifuatazo na chambua kutokana na tarehe 20 ambayo anaingia period
20 - 25 - period
25 - 30 - safe
31 - 07 - danger
08- 20 - safe
Na wewe na yeye mlikutana tarehe 1 na tarehe 02 ambayo ukiangalia katika mchanganua hapo ipo kwenye danger zote may be ikahappen yai likachelewa kufika katika fallopian tube likaja tareh 04 lakin kama likija tarehe 03 ambayo inakuaga always automatic litakuta mbegu zipo kwasabab mbegu za kiume zinakaa masaa 48 na za kike 72 ndo ziharibike ko kwa scenario hiyo mtu huyu uwezekano anamimba
Asanten nawasilisha
 
Back
Top Bottom