Wakuu hapa kuna mimba?

Wakuu hapa kuna mimba?

MImba hiyo baba kijachoo. Hongereni andaa lipa namba wakina Ushimen ,wazee wako wa rika lakooo wakutumie muamala wa pampas.
Kwa maana 22 mpaka 30 no danger 31 mpaka 1,2 danger huogipi magonjwa ya azinaa tofautin mimbaa
Ushimen ni classmate, maclassmate n wagumu hapo labda niambulie bia mbili 😂

Ya Mungu mengi mkuu ilitokea tu hivyo.
 
Ya nini kuumiza kichwa mkuu wakati kipimo cha ujauzito hakizidi elfu tatu, tena unaweza kwenda Pharmacy ukanunua ukampima mwenyewe huyo Manzi wako.
 
Back
Top Bottom