Atakuwa angela maana hawa kwa kushinka mimba wanaongozaHapana mkuu jina lake halina hata hiyo herufi h kabisa
Atakuwa angela maana hawa kwa kushinka mimba wanaongozaHapana mkuu jina lake halina hata hiyo herufi h kabisa
Wala sio angela msiwe na hofu wapenz wenu n waaminifu 😂Atakuwa angela maana hawa kwa kushinka mimba wanaongoza
😂 fala sana we jamaaHakika mtoto atakayezaliwa atakuwa a fool 🤣🤣🤣🤣
Sawa mdau ikifika wakati halisi utapata tu.Binafsi nataka na nakubaliana na lolote
Kama una wasiwasi nitumie namba yake ntamlea yeye na mtoto mkuu🤣🤣🤣March 22 ilikuwa siku ya kwanza ya period yake ya mwisho.
Sijui nipokee hongera yako mkuu, natamani aingie hedhi.
Sina wasi wasi mkuuKama una wasiwasi nitumie namba yake ntamlea yeye na mtoto mkuu🤣🤣🤣
Asante mkuuSawa mdau ikifika wakati halisi utapata tu.
All the best
Ya mwisho ilikuwa kati ya 25/26 marchKwani hedhi yake ya mwisho alimaliza tarehe ngp?
INaitwa LNMP
Baada ya hii siku ndio tunaanza kuhesabu mzunguko.
22 march ni siku alianza.
Mkuu mi nipo tayari sioni taabu kwenye hiloKiongozi labda tu itokee ishu nyingine ila kwa tarehe hizo chance ya kushika ni kubwa mno .. anza maandalizi mapema tu. Kwa dalili nakuona tu kama hujapendezwa na hilo suala ila yote ni matokeo watoto wa style hiyo wana baraka zake itatokea utampenda .. sema wanawake bana wana mbinu nyingi sana akiamua ashike anashika tu ana twist siku hata moja tu imoo .. jipange tu mkuu "usitembee na mtu ili mradi tu weka malengo"
so mlisex siku ya 10 au siku ya 11.Ya mwisho ilikuwa kati ya 25/26 march
22 march ndio alianza
so mlisex siku ya 10 au siku ya 11.Ya mwisho ilikuwa kati ya 25/26 march
22 march ndio alianza
Unaomba elimu ya uzazi wa mpango nahuku ushakojoa ndaniKabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo.
Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili.
22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april tulikutana.
Je kuna uwezekano amepata mimba au ni kuchelewa tu kwa hedhi? Hana dalili nyingine yeyote ya mimba ukitoa hiyo ya kuchelewa kuingia hedhi.
Pia naomba elimu kuhusu kalenda ya uzazi wa mpango.
View attachment 3315912
Dalili za mimba wakati mwingine hua zinachelewa au kutokuwepo kabisa.Kwahiyo hakuna matumaini ya yeye kuingia hedhi sio kwamba imechelewa tu? Kama n mimba mbona hamna dalili nyingine yeyote.
Basi hongera sana, welcome to the fatherhood 😄Sina wasi wasi mkuu