Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,075
- 111,674
- Thread starter
- #241
Unashangaa nini😀😀😀 na uzinzi ulifanya mkiwa wawili😹😹 Half american
Unashangaa nini😀😀😀 na uzinzi ulifanya mkiwa wawili😹😹 Half american
Jina sio shida mkuuShida ya Saidi kichwa wazi akichegama ndio hii!Kichwa Cha juu kinaendeshwa na kicha Cha chini sasa mkuu hapo anza kuandaa majina ya mjomba tu!!!
Basi vizuriNmesoma vyema kabisa mkuu na nitaufanyia kazi.
Hiyo imo mkuu, ipo kwenye target tena vizuri kabisa. Kama yupo fertile na hatumii madawa ya kuzuia mimba tayari. Nafasi kubwa ni baby girl. Japo hata boy yaweza kuwa.Tarehe 1 April mkuu.
Sa na wewe unafanyaje kwenye sikukuu ya watu wajinga😂🤣Tarehe 1 April mkuu.
Kama anaeleweka mwache alee ila kama hasomeki shusha mzigo boss 😀😀 ama ndo unategemea uoe?Combikit ndio nini, kutoa mimba hapana mkuu siwezi kubali afanye hivyo.
ngoja nikamnunulie kipimo apime niwe na uhakika.Hiyo imo mkuu, ipo kwenye target tena vizuri kabisa. Kama yupo fertile na hatumii madawa ya kuzuia mimba tayari. Nafasi kubwa ni baby girl. Japo hata boy yaweza kuwa.
Si alee mtoto. Simshauri afanye hilo.Kama anaeleweka mwache alee ila kama hasomeki shusha mzigo boss 😀😀 ama ndo unategemea uoe?
😂 siku hiyo mambo yalikuwa bambam nikasusiwa yoteSa na wewe unafanyaje kwenye sikukuu ya watu wajinga😂🤣
A joke😎
😀😀 za kuambiwa changanya na zakoSi alee mtoto. Simshauri afanye hilo.
Mkuu sipigagi kavu kwa mwanamke asieleweka hata iweje, huyu ni ke sahihi kwangu nilishakubaliana na hali yeyote tangu awali.Kama anaeleweka mwache alee ila kama hasomeki shusha mzigo boss 😀😀 ama ndo unategemea uoe?
Halafu wakiwa hot huwa zinakuwa tamu. Nadhani ilikuwq tofauti na siku zingine mpaka ukawa unajiuliza, LEO IMEKUWAJE?😂 siku hiyo mambo yalikuwa bambam nikasusiwa yote
Mkuu sipigagi kavu kwa mwanamke asieleweka hata iweje, huyu ni ke sahihi kwangu nilishakubaliana na hali yeyote tangu awali.
Mkuu acha kabisa siku hiyo niliichapa haswa, raund ya kwanza nilitumia mpira fresh ila nyingine hakuna.Halafu wakiwa hot huwa zinakuwa tamu. Nadhani ilikuwq tofauti na siku zingine mpaka ukawa unajiuliza, LEO IMEKUWAJE?
Basi, jibu lake ndicho hicho tunajadili hapa😂🤣
Ndio maisha kikubwa usiitelekeze na kuisahau damu yakoNzuri hioo lea mzigo huo, kila laheri katika kua baba bora wengine tushajichanganyaga huko😹 mambo kama hayo ni irrevesible ukiula umeula
Huyo mpenzi wako anaanzia na h?Nilikumbuka mkuu na rekodi za sms nnazo
Wageni wenyewe ni Simba sc 😂Sllipendi sana neno HEDHI. sijawahi kulizoea maisha yangu yote toka nilijue. Linanikera sana nikilisikia. Afadha neno "siku za..." au "mwezini"..
My ex yf alikua anatumia neno "mgeni".
Akikuagiz pedi ,she used to say "niletee mikate, nina wageni".
😅😅
Hapana mkuu jina lake halina hata hiyo herufi h kabisaHuyo mpenzi wako anaanzia na h?
Hakika mtoto atakayezaliwa atakuwa a fool 🤣🤣🤣🤣Tarehe 1 April mkuu.