Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 22,690
- 29,909
Ero sobhai.
Takwenya kokoo wote humu?
Mwangaruka wabhabha na mamayo
Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii.
Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa nchi hii.
Uwepo wa Bodi za mazao ambapo badala ya kushughulika na kuboresha ubora na kuweka miongozo chanya ya kulimo nchini, bafala yake Bodi hizo zinasimamia udunishaji wa juhudi za wakulima.kwa kuwakandamiza kupitia upangaji wa bei za mazao wanayolima kwa jasho lao.
Soko la dunia limesheheni wanunuzi ambao wana umoja wao wa kupanga bei za mazao ambapo pia wanakutana na kuvutana na jumuiya za wakulima wanaotaka bei stahiki kwa mazao yao.
Tanzania imeendelea kuwafanya Wakulima wake kama mtaji wa CCM kwa kutumia misuli yake kupanga bei zisizoendana na uhalisia wa soko la.dunia. Serikali inajua kuwa soko la nchi jirani lina bei nzuri na mkombozi kwa mkulima lakini itafunga mipaka ili kuwawezesha madalali wanaotumika na CCM kununua kwa bei ya chini sana (elekezi) tena kwa lazima kutoka kwa wakulima tena wakilindwa na sheria.
Bei ya Korosho mwaka huu imeanguka sana katuka soko la ndani ingawa serikali haikuwahi kupunguza bei za pembejeo za kilimo huku ikihakikisha kila mkulima anawajibika kukopa hizo pembejeo na kuja kukatwa kwenye mauzo ambayo pesa inayokatwa haimuachii unafuu mkulima. Jambo hili lipo kwenye mazao ya biashara karibu yote nchini. Kila zao lina Bodi yake ya udhibiti bafala ya Bodi za kukuza na kuendrleza mazao hayo
Wakulima wa Tanzania walipaswa kuwa matajiri na wangeweza kutikisa uchumi wa Afrika kwa faida ya Nchi yetu. Lakini siasa za kipuuzi na chafu za CCM zitaendelea kudunisha nchi na watu wake huku chama kikiweka nguvu isiyo ya kawaida kwenye kukuza deni la taifa kwa kukopa kutoka nje mikopo ambayo sehemu kubwa inaishia mifukoni mwa viongozi wa kitaifa.
NINI KIFANYIKE

- Ikatae CCM na mambo yake yote.
- Usipoteze kura yako kwa mgombea yeyote wa CCM kuanzia juu hadi chini
- Elimika, yes pata ufahamu wa yanayojiri nje ya mipaka ya nchi yetu hususan maendeleo ya kisekta
- Usimsahau Mungu all the time
- Elimisha wanao kuhusu uovu wa CCM