Hujielewi wewe, ndio maana huwa nakupuuza wakati mwingine. Au umezaliwa miaka ya 2000.?? Kiasi kwamba huelewi yaliyotokea mwaka 1994 katika nchi ya Rwanda.?? Kwa misingi ipi unaipuza nafasi ya Kagame katika machafuko ya Rwanda.?? Huwezi kutenganisha mauaji ya Kimbari na kikosi cha wanajeshi wa RPF kinachoongozwa na Kagame hadi leo.
Kwa hiyo rais akipenda mashoga na wewe utapenda kwa sababu rais kaamua kupenda mahusiano ya jinsia moja.?? Sio makosa yako, ni Afrika pekee ambayo viongozi wa nchi wanaonekana ni miungu watu hasa kwa baadhi ya wananchi kama wewe. Inabidi ujifunze kuhoji uamuzi wowote unaofanyika katika jamii yako, ukizingatia madhumuni na malengo ya kihistoria juu ya maamuzi hayo.