Wako wapi wale anti Kagame?

Wako wapi wale anti Kagame?

Tupo na hatumwamini Kagame, tunaomba Rais wetu awe makini. Tunachofanya sisi ant Kagame tumekaa pembeni when the time comes we will hit big time. Yaani ni kama ushabiki wa simba na yanga hakuna kuhama timu. Ingawa Kagame ni yanga kama mimi lakini simupendi
lakin magufuli anampenda sana kagame kuliko marais wote dunia hii, magufuli alisema kagame ni rafiki yake mpendwa sana, tangu aingie madarakani kaalikwa na nchi nyingi sana lakin alipoalikwa na rafiki yake mpendwa hakujiuliza mara mbilimbili fasta kaenda. kwa hiyo wewe hata usipompenda kagame haituzuii kunywa maji sababu rais Magufuli ambaye ni alama ya nchi hii anampenda kagame na anaamini ndo jembe la ukweli
 
Hehehe!! Bora wabaki huko huko kwa Kagame....
kila nyakati na matukio yake.zama za JK vs PK zilishapita.kwa sasa habari ya town ni urafiki wa JPM na PK/urafiki wa kiuchumi kati ya tanzania na rwanda.
hizi si habari nzuri kwa team Kenyatta,wewe ukiwemo.
Maana tunawajua wakenya mlivo speed ku-take advantage pale marafiki wanapogombana.hahaha.
 
kila nyakati na matukio yake.zama za JK vs PK zilishaita.kwa sasa habari ya town ni urafiki wa JPM na PK.hizi si habari nzuri kwa team Kenyatta,wewe ukiwemo,hahaha.

Kaka kadoda11 naona tangu ulegee, geopolitics za EAC ni kama zimekushinda. Unafaa ufahamu kwa Magufulii kuonyesha urafiki na Kagame ni ishara nzuri sana hapa EAC. Ina maana yeye hatakua complicated na mwoga mwoga wa kutoeleweka eleweka. Amedhihirisha ni kiongozi ambaye anakubali kukaa na kuongea na wenzie na sio kukimbia ovyo na kulilia huko Bongo.

Ndio mara ya kwanza tunaona rais wa Tanzania aliye tayari kufanya kazi na kila mtu, na kila jirani. Hatujali ushindani, cha msingi ni kwamba mshindani wetu anakua tayari kucheza bila kulia lia kila akichengwa. Ukinichenga na kufunga bao, nakupa hongera, nikikufunga, pia nawe unanipa hongera. Tulikua tumezoea Tanzania ya wachezaji wanaomuita refa kila wakipigwa chenga.

Kwa kweli kufikia hapo, nimependezwa na jinsi Magufuli anawaburuza, mlikua mumejazwa chuki na uwoga uwoga, sasa leo amewalazimisha kumsifu Kagame. Mtaimba nyimbo anazotaka yeye, halafu jamaa anadhihirisha kuwa na nguvu kichizi, ananyoosha Dar hadi Kigali kwa gari barabarani, yaani nakumbuka zile push-up zake. kwa sasa hivi nawahurumia wale mliozoea uvivu maana duh, hapo kwenu noma.

Yaani naona sasa hata watu tunaweza anza kuibua mikataba yetu huko, maana kazi inatendeka sasa, sio kule kubembelezana na kuburuzana tena.
 
Kwani tumeamua vipi.?? Unafahamu uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni muhimu sana kuliko uhusiano wa Magufuli na Kagame.?? Watu wengi wameshindwa kutofautisha tofauti hii, hasa baada ya ujio wa Odinga huko Chato. Lakini Magufuli ameenda Rwanda kwa ajili ya shughuli za kiserikali sio kirafiki, na ziara hii imekuja wakati sahihi hasa ukizingatia Tanzania inataka kujitanua kiuchumi na kujiondoa katika utegemezi wa misaada.
magufuli kasema kagame ni rafiki yake mpendwa sana, nami naongeza ni rafiki yake mpendwa kuliko
marais wote dunia hii.
eti uhusiano wa rwanda na tanzania ni muhimu! sasa kilichokuwa kinawatoa povu ni nini huko nyuma kabla ya marafiki wapendwa jmp na pk kuwa kwenye power kwa pamoja!
mmeshikwa pabaya aibu yenu hiyo na mkwere wenu nyie dhaifu, sisi, jpm na pk ni imara ni kazi tu.
 
Wewe nilishakwambia acha stori za vijiweni, bado hausikii.!! Huo urafiki wao si sehemu ya maendeleo ya nchi hizi mbili, kinachoangaliwa ni hatua gani ataifikisha Tanzania baada ya kushirikiana na serikali ya Rwanda. Hayo mengine yatabaki kama mambo binafsi yanayowahusu wao, sio sisi wananchi.
We unachangia mada gani?! ebu soma Heading ya thread hii afu rudia kuchangia, nilikuambia mmeamua kutoka hivi unavyoandikaandika. acha kurukaruka jibu swali la heading ya mada hii
 
Kaka kadoda11 naona tangu ulegee, geopolitics za EAC ni kama zimekushinda. Unafaa ufahamu kwa Magufulii kuonyesha urafiki na Kagame ni ishara nzuri sana hapa EAC. Ina maana yeye hatakua complicated na mwoga mwoga wa kutoeleweka eleweka. Amedhihirisha ni kiongozi ambaye anakubali kukaa na kuongea na wenzie na sio kukimbia ovyo na kulilia huko Bongo.

Ndio mara ya kwanza tunaona rais wa Tanzania aliye tayari kufanya kazi na kila mtu, na kila jirani. Hatujali ushindani, cha msingi ni kwamba mshindani wetu anakua tayari kucheza bila kulia lia kila akichengwa. Ukinichenga na kufunga bao, nakupa hongera, nikikufunga, pia nawe unanipa hongera. Tulikua tumezoea Tanzania ya wachezaji wanaomuita refa kila wakipigwa chenga.

Kwa kweli kufikia hapo, nimependezwa na jinsi Magufuli anawaburuza, mlikua mumejazwa chuki na uwoga uwoga, sasa leo amewalazimisha kumsifu Kagame. Mtaimba nyimbo anazotaka yeye, halafu jamaa anadhihirisha kuwa na nguvu kichizi, ananyoosha Dar hadi Kigali kwa gari barabarani, yaani nakumbuka zile push-up zake. kwa sasa hivi nawahurumia wale mliozoea uvivu maana duh, hapo kwenu noma.

Yaani naona sasa hata watu tunaweza anza kuibua mikataba yetu huko, maana kazi inatendeka sasa, sio kule kubembelezana na kuburuzana tena.
Basi sawa......
 
Nimeanza na wewe uliyeninakili, sababu hapa ni sehemu ya kuhabarishana. Unafundishwa kwanza, baadae unajibiwa ili upate taarifa sahihi na uhakika.!! Mimi ni miongoni mwa watu wanaompinga Kagame, na hii ni kutokana na sababu za kisiasa za nchi ya Rwanda na madhara ya maamuzi yake katika ukanda huu wa maziwa makuu. Niko tofauti sana na jinsi wewe unavyonifikiria.
Mkuu, paka haeleweki wala hatabiriki! Siku moja mtakuja kutuambia hapa. Paka ameshaua wakuu wa nchi wanne na amewakosakosa watatu. Hayo ni kwa mujibu wa kauli na matendo yake. Amemuua Laurent Kabila wa DRC, kamuua Melchior Ndadaye wa Burundi, kamuua Cyprien Ntaryamira wa Burundi, kamuua Juvenal Habyarimana wa Rwanda. Kawakosakosa Jakaya Kikwete wa Tanzania, Pierre Nkurunziza wa Burundi na kamkosakosa rais wa Uganda alipokuwa anamsaidia mtutsi mwenzie na mjomba wake Kaguta Museveni kuitwaa ikulu ya entebe 1986. Ukila nyama ya mtu, huili mara moja, utaendelea kuila kila ukipata nafasi. Ninaamini Magufuli anamjua paka vizuri sana na yupo makini mno. Magufuli kaenda Rwanda kiuchumi zaidi suala la urafiki kalitamka kwa sababu binadamu tumeumbwa na aibu !
 
wewe unampinga kagame, rais magufuli anamkubali kagame, we unafiri lipi la muhimu kwetu sisi wananchi?! masunga maziku kumpinga kagame au john magufuli kumkubali kagame?! hahahahah! watu wengine bana!
wewe hata upinge vipi sasa reli chini ya jpm na pk reli itajengwa toka dar mpaka kigali then bujumbura, utake usitake utaipenda
 
Mkuu, paka haeleweki wala hatabiriki! Siku moja mtakuja kutuambia hapa. Paka ameshaua wakuu wa nchi wanne na amewakosakosa watatu. Hayo ni kwa mujibu wa kauli na matendo yake. Amemuua Laurent Kabila wa DRC, kamuua Melchior Ndadaye wa Burundi, kamuua Cyprien Ntaryamira wa Burundi, kamuua Juvenal Habyarimana wa Rwanda. Kawakosakosa Jakaya Kikwete wa Tanzania, Pierre Nkurunziza wa Burundi na kamkosakosa rais wa Uganda alipokuwa anamsaidia mtutsi mwenzie na mjomba wake Kaguta Museveni kuitwaa ikulu ya entebe 1986. Ukila nyama ya mtu, huili mara moja, utaendelea kuila kila ukipata nafasi. Ninaamini Magufuli anamjua paka vizuri sana na yupo makini mno. Magufuli kaenda Rwanda kiuchumi zaidi suala la urafiki kalitamka kwa sababu binadamu tumeumbwa na aibu !
zilipendwa, sasa hapa ni kazi tu
 
Hiyo simupendi=Ni kama kiswahili cha nchi flani.
Acha upoyoyo, this is cyberspace, we are all netizens, you can not determine a citizen of real space by just quoting a misspelled word. Sasa niambie neno "flani" ni la nchi ipi?
 
Acha upoyoyo, this is cyberspace, we are all netizens, you can not determine a citizen of real space by just quoting a misspelled word. Sasa ni ambient neno "flani" ni la nchi ipi?
Nimekupuuza.
 
Kuna mambo muhimu kwa masilahi ya taifa, Magufuli anaendeleza alipoishia Kikwete. Jambo ambalo lilionekana kutoweka hapo awali. Kuliweka karibu taifa la Rwanda ni muhimu zaidi kuliko uhusiano wa Kagame binafsi. Kwani kinachofanyika hapa ni mikakati ya kiuchumi baina ya mataifa haya mawili.

hamuna kitu hapo, rwanda ka nchi kadogo sana, ni kama mkoa wa arusha au mbeya tu. Huwezi sema rwanda ina uwezo wa kuboresha uchumi wa giant Tanzania haiwezekani labda ingekuwa drc. Ukiacha hayo mambo ya ufunguzi wa daraja ni shughuli ya kiuchumi yes, ila kuna hisia za ukaribu zaidi zinajionyesha kati ya magu na pk. Kuna thread iliwahi kupita hapa kwamba magu ni Mzinza na Wazinza wengi tunao mjini humu ukiwatizama hawana tofauti na wanyarwanda ,, sasa na hii kuichagua rwanda nchi ya kwanza ziara ya kikazi mhh *****
 
Hata mimi nimekupuuza zaidi ya 100% vile vile kwa sababu wewe ni kati ya wale shortsighted wanatoa hi time should basing on wrong assumptions
Ungenipuuza usingeendelea kujibu yangekuwa yameisha, usipende kudandia vitu vyenye ncha kali kwa mbele.
 
Ndo wale wale mapoyoyo amegundua ni substantial?
Unamjua poyoyo wewe? Nikikwambia poyoyo ni yule alikufanya ukalia ngaa kwa Mara ya kwanza sitakuwa nimekosea maana siajabu hata umri wangu na wake tunalingana
 
lakin magufuli anampenda sana kagame kuliko marais wote dunia hii, magufuli alisema kagame ni rafiki yake mpendwa sana, tangu aingie madarakani kaalikwa na nchi nyingi sana lakin alipoalikwa na rafiki yake mpendwa hakujiuliza mara mbilimbili fasta kaenda. kwa hiyo wewe hata usipompenda kagame haituzuii kunywa maji sababu rais Magufuli ambaye ni alama ya nchi hii anampenda kagame na anaamini ndo jembe la ukweli
Kama kweli wewe ni mtanzania tuambie una maslahi gani na rwanda?
 
Wewe nilishakwambia acha stori za vijiweni, bado hausikii.!! Huo urafiki wao sio sehemu ya maendeleo ya nchi hizi mbili, kinachoangaliwa ni hatua gani ataifikisha Tanzania baada ya kushirikiana na serikali ya Rwanda. Hayo mengine yatabaki kama mambo binafsi yanayowahusu wao, sio sisi wananchi.
Hata JK alikuwa anasema hivyo kuhusu uhusiano wetu na rwanda ila operation kimbunga ilibaki palepale.
 
Back
Top Bottom