poa! sijapotea huwa ninategeshea nione jinsi mnavyo chemka! ona sasa kama hivi vigezo vya uongo
muulize
jMali kabla ya kuanza masomo mwalimu alikuwa anauliza nini! ilikuwa ni kama vile wimbo wa taifa, lazima watutsi wajitambulishe na mwalimu aanze kuwauliza jinsi wasivyo na haibu ya kwenda shule! can you imagine? kuto ruhusiwa kukamata passport, kutoruhusiwa kupata fursa za kazi serikalini na mengine kibao! lakini sina wakati wa kukufundisha sana ila hii article nayo inaweza kusaidia kupunguza misumu kutoka kwa akina
vyuma na
Bukyanagandi http://www.nytimes.com/1964/02/09/savagery-marks-tribal-warfare-in-rwanda.html?smid=tw-share
Wewe una ushahidi gani wa kuonyesha kwamba Habyarimana alikuwa anawabagua Watutsi kiasi hicho, hii inaingia akilini kweli!! - Au ndio moja ya mbinu zenu za kujaribu ku demonise Habyarimana (R.I.P) mambo mengi mnatunga tu, kwanza wewe na jamaa zako mlikuwa wakimbizi Tanzania si ajabu alizaliwa hapa hapa Tanzania na hukuwahi kwenda Rwanda mpaka PK alipo shika madaraka, sasa huo ubaguzi wa Habyarimana ulikutana nao wapi? Uzushi tu.
Hapa umekazania kuonyesha ubaguzi wa Habyarimana, je kwenye current administration unaweza kutupatia takwimu za maafisa wa kijeshi namely: Idadi ya Majenerali wa Kihutu/batwa, Brigedia Generals, Luteni Jenerali nk.
Je ni wahutu wangapi ni ma Vice Chancellors wa vyuo vikuu,wakuu wa Vyuo vya ufundi, ma CEO kwenye mashirika ya Umma, ma Waziri na PS, Jeshi la Polisi na mambo ya ndani, na sehemu nyingine ambazo ni mission critical kwa Taifa lenu.
Tupatie vile vile idadi ya wanafunzi wa kihutu wanao soma vyuo vikuu vya Ulaya na Merikani kwenye fani nyeti, having in mind kwamba Wahutu ni close to 80% ya population ya Rwanda - akisha pata idadi kamili ya wahutu ambao wameajiriwa kwenye sekta hizo tajwa, tuletee na idadi ya Watutsi for comparision - si unamsema sema sana the late Habyarimana kwamba alikuwa mbaguzi, sasa tuletee takwimu ambazo hazijapikwa tuone nani ni mbaguzi kati ya ma rais hawa wawili, usifikiri Rwanda ni kisiwa, kumbuka juzi juzi hapa one of UN agancies caught you redhanded mkijaribu kupika takwimu za maendeleo nchini mwenu, sitakushangaa ukituletea Hollywood script za takwimu za kufikirika.
Sasa turudi kwenye masuala ya genocide, jaribu kufatilia articles zenu kwenye machapisho, mtu huitaji shahada ya sayansi ya roketi kutambua kwamba wanacopy Govt handout kwa maelekezo maalum ya kuhadaa Dunia kwa stori zenu za kuntunga tu, masaa yote kulazimisha Dunia iwaonee huruma hamtaki kusahau ya kale mkaganga yajayo mnajifanya kusahau ukatiri mliyo wafanyia wakimbizi kwenye makambi yao, mnataka Dunia kila siku isikilize your side of story na si ya Wahutu - Binafsi huwa nawachukulia kwamba given a chance makabila karibu yote ya Rwanda ni wauuaji tu, si muhutu wala Mtutsi may be nyinyi na visasi vyenu you are even WORSE, angalia majibu jibu yako ya ki-sadism anajaribu kitisha tisha members wa JF ambao wana maoni tofauti na ya kwako - behaving as if you own 'em - we nani?
Story nyingi za nchini mwenu wala hizijui vizuri, ulikulia uhamishoni alafu anajitia kubishana bishana na watu, anachukulia stori ulizo simuliwa na wazazi wako kama ni gospel truth,watu kama Vyuma, jMali na wengine wanaonekana wako well informed kuliko wewe ndio maana unawachukia na kuwa sema sema ovyo, hakuna andiko lolote ambalo unasahau kuwataja -vely kwa kuwa hujiamini anachokisema ndio maana unajihami mapema (ni suala la saikolojia mkuu) hutupi shida sisi tumekwisha KUSOMA, tukiona topic fulani inayo husu Rwanda au PK halafu wewe umekaa kimya 4 the wholeday, basi tunajua hupo kwenye machimbo/archives za Library of Congress au British Library ukitafuta tafuta vi articles vya kipinga au kutoa visingizio vya kuwatetea - ndio ulivyo!
One may ask kwa nini some of you people behave the way you do? Jibu ni rahisi, tatizo linatokana na malezi yenu yenye walakini, ndiyo yanawafanya baadhi yenu kuwa overly arrogant ba dhalau mnatukana tukana watu na kuwatisha tisha ovyo, ndio maana mna ubavu wa kukosa ustaarabu wa kuheshimu raia ambao ni wa nchi nyingine, mnawafanyia dhalau watu wengine, je, raia wa kwenu si ndio wanakuwa petrified na tabia zenu mbovu za kutaka kuteka nyara akili za watu ili wakubaliane na maoni yenu, hata kama maoni yenyewe yako highly skewed kama ya kwako wewe unaona ni sawa tu!
Nimalizie kwa kusema kwamba tukiwa wa kweli tunajua kilicho changia/trigger mauuaji, nakumbusha kwamba chanzo ni kuuliwa sio rais mmoja bali raisi watatu kwa mpigo kwa kutungua ndege yao, kwa akili za kawaida, kwa hali kama hiyo katikati ya vita vya kutaka kuondoa madarakani Serikali halali, mtu ungetegemea katika hali kama hiyo watu wange react vipi at the end of the day baada ya kupata habari kwamba rais wao kauwawa kinyama, mark you I don't condone mauuaji ya halahiki si kwa Watutsi wala Wahutu mauuaji ni mauuaji hayajalishi makabila - ndio maana na insist kwamba Wanyarwanda wote au Viongozi wao wa vyama au kabila wakae chini mmalize tofauti zenu kistaarabu. Wanashindwa nini mbona nchi kama Afrika Kusini, Kenya na South Sudani walimaliza matatizo yao kwa njia ya mazungumzo, nyinyi mnaona ugumu gani. Viongozi wa Mataifa mengine wakiwapa ushauri mzuri nyinyi mnawajia juu hamtaki kusikia la mtu mnafikia hatua ya ku resort kwenye name calling na kutishia naisha ya wenzenu.