Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,626
Nimeanza kujiuliza kwamba wapo wapi wale wapinga Kagame ambao walikua wakichochea uhasama wa Tanzania na Rwanda kupitia Kikwete?
Watu hao walikua ni mafundi wa matusi kwa Kagame na Rwanda yake ilifikia kipindi wakawa wanatafsiri hadi picha za Ma-bodyguard kwamba ni kwa kiasi gani wale wa Tanzania hawamuamini Kagame. Lakini hivi sasa hali imebadirika kabisa, Magufuli na Kagame wameonyesha si tu kwamba wao ni viongozi wa nchi bali pia ni marafiki wanaoelewana na kila mmoja akimkubali mwenzake kiutendaji.
Anti Kagame wapo kimya either wamekosa au wamepoteza maneno ya kuongea. Hawaelewi waya shape vipi mawazo yao dhidi ya Kagame.